Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yaan anaenda J K T kwa umri huo au sijaelewa vzr mkuu....na kama anaenda kwa umri huo pengine yuko na elimu ya juu au ana maelekezo maalumu yaan uhakika wa nafasi
Mchawi maelekezo unaweza kwenda 29 Kama Kuna maelekezo Mambo kitonga
 
Uko sahihi mkuuu sio za kuendekeza hiz chupi
 
Wakuu hivi unaweza ukawa na bachelor ya education ya geography English ila kuna mbanga imekusimamia ukapita ukifika ccp moshi hautarejeshwa maan naskia kuna uhakik wa vyeti ukifika huko
 
Wakuu hivi unaweza ukawa na bachelor ya education ya geography English ila kuna mbanga imekusimamia ukapita ukifika ccp moshi hautarejeshwa maan naskia kuna uhakik wa vyeti ukifika huko
Inawezekana .Maana hata watu wa education wanatakiwa pia
 
Wakuu hivi unaweza ukawa na bachelor ya education ya geography English ila kuna mbanga imekusimamia ukapita ukifika ccp moshi hautarejeshwa maan naskia kuna uhakik wa vyeti ukifika huko
Inawezekana ila sasa sijajua ukimaliza kozi kwamfano unataka kwenda kuripoti kwenye Kikosi utaenda Kikosi Gani?
 
Mwaka Huu education wamechukua only wenye Bachelor of education in curriculum.

Kama upo kwenye PDF Haina shida unapita tu pale CCP, maana mpka upo kwenye PDF it means una requirements zao.
Sw mkuu ila watu c wapo ambao hupita kwa Course ya ualim ukitoa hio ya curriculum???
 
Sw mkuu ila watu c wapo ambao hupita kwa Course ya ualim ukitoa hio ya curriculum???
Tangia mwaka 2019 sizani kama polisi wamechukua watu wenye taaluma ya education waliospecilize kwenye masomo ya art's au science.

Ukiangalia matangazo Yao ya kazi wanahitaji hizi professionals nyingine ila Kwa education in Physics, geography sijui history or mathematics sijawaiona miaka ya karibuni
 
Duuh wakuu mbona mtihn hata uwe na mbanga hutaweza kupita ila mbon uhamiaj walichukua degree ya ualim 2019 hata mwak Jan kuna mtu namjua kamaliza degree ya. Kisw history na kaenda uhamiaj kwa hilo hta ukiwa na mbanga wakuu huwez kupita
 
Kuna mtu Ana hio bachelor ya geograohy English ndo ana mpango wa kwenda jkt kwa hata loose maan dahh hali s shwariii
 
Kuna mtu Ana hio bachelor ya geograohy English ndo ana mpango wa kwenda jkt kwa hata loose maan dahh hali s shwariii
Kwa jinsi ninavyoona,ni vyema kurejea na kuangalia ni degree zipi zinachukuliwa uhamiaji na PT,km degree uliyonayo haijatajwa Sana ujue uwezekano ni mdogo km Hana cheti cha jkt kabisa na umri unamruhusu aingie kukitafuta apambene na form 4 magereza na PT huku akiangalia km itawezekana kutumia degree mbeleni
 
Shda ni mbanga tu mbon mm uhamiaj kuna mtu namjua mwaka jana alitumia degree ya education na yupo kazin saiv fresh tu mbon
 
Ila huyo mtu akitokea visiwan zanzibar uku labda mbanga yake ni kubwa
 
Shda ni mbanga tu mbon mm uhamiaj kuna mtu namjua mwaka jana alitumia degree ya education na yupo kazin saiv fresh tu mbon
Ndo mpaka uwe na mbanga Sasa,huna itabidi mtu uwe mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…