Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

GPA inategemea na chuo ulichosoma mfano SUA, UDOM, UDSM, MUHAS, NA VINGINE VYA SERIKALI ASILIMIA KUBWA SECOND CLASS WANAPATA LAKINI PRIVATE KAMA SAUTI UNAKUTA FIRST CLASS LAKINI HAIPO MAKINI SANA
 
Sidhn kama PT wanaweza penda GPA Kubwa ...ikiwa wanapenda GPA kubwa bas Hata form four wangekuwa wanachukua wenye div 1
 
Ule haukua usaili kaka..ni vipimo tu vya urefu na ukaguzi wa vyeti
Kaka me sijapiga mujibu nimepiga kujitolea aseee....labda kwenye umri kidogo mimesogea....ila ndo wamenipiga ndoige, vp na ww wamezingua maana si ulienda mpk usaili kaka
 
Sidhn kama PT wanaweza penda GPA Kubwa ...ikiwa wanapenda GPA kubwa bas Hata form four wangekuwa wanachukua wenye div 1
Wanachanganya hawa,maana ule usahili walikuwa wanakomaa wanataka transcript,kwa wale ambao hawakuwa nazo waliambiwa kesho yake walete
 
Huo ndio ukweli...na amabao wapo kwenye mifumo watakubaluana na mimi

Hizo asilimia 10 zilizobaki ndio wanapata kazi bila connection .

Na hata hizo kazi mkishazipata bado kumaintain inahitaji connection hahahaha

Hii ndio nchi yetu
Duh Kumaintain kivipi tena hapo embu paelezee vzuri man
 
Sidhn kama PT wanaweza penda GPA Kubwa ...ikiwa wanapenda GPA kubwa bas Hata form four wangekuwa wanachukua wenye div 1
Wanaangalia mkuu maana kule unaenda tumia fani yako so lazima waangalie mtu smart kidogo japo unaweza kuwa na GPA kubwa na isikusaidie lolote kama huna connection japo kutoboa inawezekana
 
Wanaangalia mkuu maana kule unaenda tumia fani yako so lazima waangalie mtu smart kidogo japo unaweza kuwa na GPA kubwa na isikusaidie lolote kama huna connection japo kutoboa inawezekana
Ukisoma PGO hamna admission ya recruitment mwenye degree, wameongeza tu kwasbb ya huduma za jamii ...kwenye PGO kuna admission Ya Form 4. Na awe na dv 3 kurud nyuma... sasa how come PT watake GPA kubwa...hilo halipo braza. Cha muhim cheti/transcript na connection.
 
Nakubali mkuu
 
Target yao kabisa nikupata vijana Kwa form four div 1,2,3 na 4 mwisho ya 27
Issue ya GPA naamini Kwa wenye fani maana kamishna wa znz alisema kwamba Wanataka ku change jeshi la pt kuwa na watu bright kama walivyoweza na wanavyoendelea kuweza JW.

Yaani huwa zinatokea fursa za watu kwenda kusoma hawawapati yaan wanakuwa hawana sifa na wenye sifa hawako interested.

Saili hata za kundi maalum last time la doctors na engineers waliangalia pia gpa yaan mwisho ilikuwa 3.0 hiyo ndo gpa inayomuwezesha mtu kuendelea na level nyengine ya elimu.

Hivyo ndo vilikuwa vigezo na kamishna wa znz anasema imeandikwa pia kwenye sheria ndogo juu ya usaili huu
Sasa tatizo linakuja Kwa issue za connection watu na ndugu zao ndo Huwa wanaharibu na kuweka ugumu kwenye haya mambo.

Na kama ukifanyiwa connection naku shauri bac uwe na shida zote izo kama huna ccp inaweza kwenda kuwa na changamoto kwako na iyo nafasi ukawaachia maafande waipige
 
Nilio skia kuhus MT naskia kua watasogeza siku mbele kwajili yakufny usaili vizuri mana mujibu walikua hawaitajiki kwenye usaili ivyo basi wataangalia namn gani yakufny kwaiy kama mtu ulikosa ebu anza kufatilia upya mana nafasi bado zipo wazi.

Japo nimeskia kama wew ni mujibu ila una refa mzuri unaend tuuh but kikubwa mujibu hawaitajik pia ata wale div 1,2 na 3 pia wengn wanapigwa chini tuombe Mungu sana wapendwa now hakuna kitu chepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…