Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sasa km upo dar na sio kada yako walioitwa utaenda kufanya nin? Yani wakufanyie wewe usahili wkt umeshafanya boss ili iweje mjuba
Yani alichokuwa anakisema mwana ni kwamba Kama mtu yupo Dar ana Muda aende hosp y polisi kilwa road Kama lkn anataka kupata majibu ya ni kw njia ipi wale jamaa wamefika kwny ule usaili kpnd hiki, cz hawez weka Hilo jibu hadharani humu JamiiForum wanapita wengi
 
Hizi taarifa zisiwape presha sana ambao mmefanya usaili ,mara ya Kwanza ,mnachotakiwa kujua ni kwamba majina yenu yashaenda makao makuu ila ni kwa watu waliokidhi vigezo peke ake

Na kuhusu huu usaili wa mara ya pili wa kimya kimya ni kwamba sababu ambayo hataki kusema huyu dogo
RmrNobody ni kwamba nafasi zinauzwa na huwez kupata Kama huna connection
 
[emoji120]
 
Asake [emoji16] . Cha muhim usikate tamaa
 
Au huenda wanasubiri TAKUKURU bogi liende pamoja CCP nawaza hivi wakuu
 
Wasitufanyie vile aisee. Tumechoma nauli kutoka mbali sana.
 
Mh!!! Nafasi zinauzwa live kama hivi... Aise
 
Unauhakika kama zinauzwa? Unaweza thibitisha hilo kwa watu waliouziwa?
 
Nina Million 2 wakuu nataka nijilipue Dar nikatafute maisha,, ushauri wenu,, kuanzia maisha na shughuli nzuri kwa mtaji huo
 
Mungu ni mwema jamani! Tusikate tamaa! Naamini nitakuja kushuhudia baadaya PDF kutoka ! 😁😁😁 Maisha haya ukisema uwaze sana utajikuta unachoka! Sipati usingizi najua tu sipo peke yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Yani leo nimekaa kuwaza sana nikajikuta nawaza tu kuendesha bodaboda! Hatari kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Ila wanangu Morali wala hatupoi mpaka tuzame chomboni tukutane Ccp
 
Hahahahaaa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…