ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Kabadilishe nida wanaruhusu ila unalipia 20000Changamoto inakuja hapo sasa. Ni vigumu kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabadilishe nida wanaruhusu ila unalipia 20000Changamoto inakuja hapo sasa. Ni vigumu kweli.
Course ipi unaongelea? Kama ni Moshi Course kama 3 zinaweza kupigwa wakati mmoja kwa kuwa kuna kambi 3 tofautiJmniii acheni.....mteru soldiers kinachoxubiriwa....Ni watu wamelize kozi...then ndyoo waiachie pdf
Yani alichokuwa anakisema mwana ni kwamba Kama mtu yupo Dar ana Muda aende hosp y polisi kilwa road Kama lkn anataka kupata majibu ya ni kw njia ipi wale jamaa wamefika kwny ule usaili kpnd hiki, cz hawez weka Hilo jibu hadharani humu JamiiForum wanapita wengiSasa km upo dar na sio kada yako walioitwa utaenda kufanya nin? Yani wakufanyie wewe usahili wkt umeshafanya boss ili iweje mjuba
Hizi taarifa zisiwape presha sana ambao mmefanya usaili ,mara ya Kwanza ,mnachotakiwa kujua ni kwamba majina yenu yashaenda makao makuu ila ni kwa watu waliokidhi vigezo peke akeOfcuz jamaa alinipa reason & jins wao wameambiwa wakafanye usaili( yaan wamejuaje hiyo issue wakat hamna tangazo).
Ila ni bora nisiseme. Cuz watu humu kila mtu anaconnection . Naweza kusema jamaa alichonijibu hf akatoka mtu humu akaenda kuipigia connection yake ikawa mambo mengi. Mi nnacho insist kama mtu uko dar tenga nauli yako nenda kilwa road uulize utakao wakuta watakupa majibu. Kama mtu uko mkoani subiria tu pdf.
[emoji120]Hizi taarifa zisiwape presha sana ambao mmefanya usaili ,mara ya Kwanza ,mnachotakiwa kujua ni kwamba majina yenu yashaenda makao makuu ila ni kwa watu waliokidhi vigezo peke ake
Na kuhusu huu usaili wa mara ya pili wa kimya kimya ni kwamba sababu ambayo hataki kusema huyu dogo
RmrNobody ni kwamba nafasi zinauzwa na huwez kupata Kama huna connection
Asake [emoji16] . Cha muhim usikate tamaaYani alichokuwa anakisema mwana ni kwamba Kama mtu yupo Dar ana Muda aende hosp y polisi kilwa road Kama lkn anataka kupata majibu ya ni kw njia ipi wale jamaa wamefika kwny ule usaili kpnd hiki, cz hawez weka Hilo jibu hadharani humu JamiiForum wanapita wengi
Unashukuru nini Sasa,Kuna kipi hapo Cha ajabu Cha kukufanya ushukuru[emoji120]
Hahah braza bana... mi nashukuru kuiweka clear.Unashukuru nini Sasa,Kuna kipi hapo Cha ajabu Cha kukufanya ushukuru
Wasitufanyie vile aisee. Tumechoma nauli kutoka mbali sana.Hizi taarifa zisiwape presha sana ambao mmefanya usaili ,mara ya Kwanza ,mnachotakiwa kujua ni kwamba majina yenu yashaenda makao makuu ila ni kwa watu waliokidhi vigezo peke ake
Na kuhusu huu usaili wa mara ya pili wa kimya kimya ni kwamba sababu ambayo hataki kusema huyu dogo
RmrNobody ni kwamba nafasi zinauzwa na huwez kupata Kama huna connection
Mh!!! Nafasi zinauzwa live kama hivi... AiseHizi taarifa zisiwape presha sana ambao mmefanya usaili ,mara ya Kwanza ,mnachotakiwa kujua ni kwamba majina yenu yashaenda makao makuu ila ni kwa watu waliokidhi vigezo peke ake
Na kuhusu huu usaili wa mara ya pili wa kimya kimya ni kwamba sababu ambayo hataki kusema huyu dogo
RmrNobody ni kwamba nafasi zinauzwa na huwez kupata Kama huna connection
Unauhakika kama zinauzwa? Unaweza thibitisha hilo kwa watu waliouziwa?Hizi taarifa zisiwape presha sana ambao mmefanya usaili ,mara ya Kwanza ,mnachotakiwa kujua ni kwamba majina yenu yashaenda makao makuu ila ni kwa watu waliokidhi vigezo peke ake
Na kuhusu huu usaili wa mara ya pili wa kimya kimya ni kwamba sababu ambayo hataki kusema huyu dogo
RmrNobody ni kwamba nafasi zinauzwa na huwez kupata Kama huna connection
Kamanda achana nao, let them believe soUnauhakika kama zinauzwa? Unaweza thibitisha hilo kwa watu waliouziwa?
Upo wap kwa sasaNina Million 2 wakuu nataka nijilipue Dar nikatafute maisha,, ushauri wenu,, kuanzia maisha na shughuli nzuri kwa mtaji huo
Upo wap kwa sasa