Borosilicate
Member
- Feb 27, 2023
- 21
- 17
Kikubwa ishu ambayo madogo walikuwa wanakuwa informed kwa kupigiwa simu ni ishu ya majina kutofauti katika baadhi ya vyeti,mfano unakuta majina ya cheti Cha kuzaliwa na form four hayafanani na kwenye nida,kwa hiyo wiki waliripoti kwenye vikosi vyao husika na kupewa utaratibu wa namna ya kufanyaKuna ambao wanakuwa informed kama Kuna vitu vyao havijakaa sawa wakamilishe...
Kuna ambao waliambiwa wafatilie deedpoll na Kuna wengine waliambiwa waende kabisa Rita na Nida kwa ajili ya kufanya marekebisho ya taarifa za majina
Na waliambiwa wakamilishe hili zoezi kabla ya tarehe 10 mwezi wa tatu