Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Huuu uzi ni wa PT lakini naona vijana wa TPDF wameuvamia anyway endeleeni na mjadala[emoji16][emoji16]wakati tunasubiri PDF.
 
Umeongea saaana na upo sahihi..

Unapokosea ni kusema kuwa huwa wanaulizwa kuwa 'kama wanataka kubaki'..

Hiki kitu cha kuwa mujibu wanaulizwa kuwa wanataka kubaki hakipo na kilichopo ni kuwa, makao makuu ya jeshi huwa wanaangalia uhitaji wao wa vijana wa Military science, kisha wanachagua ukanda mmoja msimu wa mujibu wa sheria na wanaenda kuwafanyia usaili wale vijana waliosoma masomo ya sayansi wenye hamu ya kuja kuwa wanajeshi.

Baada ya vipimo na saili zote kuisha, wenye vigezo wanavyotaka wanapewa muongozo kuwa watapigiwa simu kwa maelezo zaidi.

Baada ya mafumzo ya mujibu wa sheria kuisha, vijana wote wanarudi makwao mara moja na haijarishi ulifanya usaili au haukufanya. Na hata wale wanaofanikiwa kwenye huo usaili wanaondokea makwao kwenda kwenye kozi.

Nakumbuka Op makao makuu mujibu, usaili wa Military science uliwaangukia waliopangiwa 845kj, na hapa watoto wa wakubwa kutoka kambi nyingine waliletwa kiuficho na wakafanya usaili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mungu ni mwema mkuu kihangaiko nimepaota adi nshamaliza kozi ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23]
me nimeotea sana oljoro kama pdf likinitema inabid nipambanie huko tuu sasa
 
Sisi kipindi tupo 823KJ mwaka 2013 wakati tunamalizia kozi ya miezi minne tuliulizwa anayetaka kujiunga na jeshi baada ya mafunzo ya mujibu tuliandika majina na baada ya kuanza chuo tulipigiwa simu ilikuwa ni 2014 mwezi wa tatu hivi watu wakaunga bogi la TMA
 
Nealed it📌
 
823 msange..😂😂
 
Nealed it
 
Nadhani utakuwa unawafahamu afande ng'ombe, bulilo etc.

Dah hiyo nafasi niliisikia juu kwa juu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…