Upendo7
Member
- Feb 1, 2023
- 15
- 9
Itoke tuu mana ake .Kuanzia kesho wazee wa pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itoke tuu mana ake .Kuanzia kesho wazee wa pdf
Mwezi wa nne.
We acha tu. Na wanavurugu kwelikweli hawa miamba wa TPDFHuuu uzi ni wa PT lakini naona vijana wa TPDF wameuvamia anyway endeleeni na mjadala[emoji16][emoji16]wakati tunasubiri PDF.
Umeongea saaana na upo sahihi..Wewe kijana kwani umeambiwa kila mujibu au wa kujitolea lazima awe mwanajeshi, kama ni hivyo basi wa kujitolea nao wasingekuwa wanarudishwa nyumbani na wengine kukosa kabisa nafasi za ajira, maana yake ni kwamba hata ukiwa wa kujitolea bado huna guarantee ya kupata hizo ajira maana hata jeshi lenyewe linasemaga kwenye vigezo kwamba "awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake wa miaka miwili" maana yake nini
Kama wapo mujibu wanaoingia na ukimwi na tattoo basi ni miaka hii na tena watakuwa ni watoto wa wakubwa ila intake nyingine hakuna aliyekuwa anaingia na ukimwi wala tattoo wala upuuzi wowote, lakini hata kama siku hizi wanaruhusiwa bado hiyo siyo sababu ya kusema mujibu hawahitajiki maana si wote lazima wapate ajira, ndio maana wanaulizwa kama kuna wanaotaka kubaki kwa wale wenye vigezo ila wasio na vigezo ndio hao wakimaliza kila mtu na hamsini zake
Halafu mimi nashindwa kuelewa unachobishana hapa ni kitu gani kwani mujibu wa military science nao si lazima wapite kwanza course ya uaskari kisha ndio wengine waende uafisa, sasa hicho kitendo tu cha kupita uaskari kinathibitisha ni jinsi gani mujibu na kujitolea wote sawa tu maana yake ni kwamba mujibu atakayekosa military science basi atabaki kama askari, ile kauli uliyosema mujibu hawahitajiki jeshini ndio ulipojichanganya kubali tu bro mujibu wanahitajika sana vinginevyo wasingekuwa wanaulizwa kama kuna wanaotaka kubaki wangekuwa wakimaliza wanatimuliwa tu wote
Haujawaelewaa.,.. walimaanisha mwezi kesho.[emoji23][emoji23][emoji23]oyaa wazee yameisha, hizi barua zenu zinaweza kuziba pdf maana wamesema kesho[emoji1]
Pdf tuu hivi,huko kazin inakuwaje sasaHaujawaelewaa.,.. walimaanisha mwezi kesho.[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah! Mungu ni mwema siku zotee mi bado naiota kihangaiko kusema kwel
me nimeotea sana oljoro kama pdf likinitema inabid nipambanie huko tuu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mungu ni mwema mkuu kihangaiko nimepaota adi nshamaliza kozi ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi kipindi tupo 823KJ mwaka 2013 wakati tunamalizia kozi ya miezi minne tuliulizwa anayetaka kujiunga na jeshi baada ya mafunzo ya mujibu tuliandika majina na baada ya kuanza chuo tulipigiwa simu ilikuwa ni 2014 mwezi wa tatu hivi watu wakaunga bogi la TMAUmeongea saaana na upo sahihi..
Unapokosea ni kusema kuwa huwa wanaulizwa kuwa 'kama wanataka kubaki'..
Hiki kitu cha kuwa mujibu wanaulizwa kuwa wanataka kubaki hakipo na kilichopo ni kuwa, makao makuu ya jeshi huwa wanaangalia uhitaji wao wa vijana wa Military science, kisha wanachagua ukanda mmoja msimu wa mujibu wa sheria na wanaenda kuwafanyia usaili wale vijana waliosoma masomo ya sayansi wenye hamu ya kuja kuwa wanajeshi.
Baada ya vipimo na saili zote kuisha, wenye vigezo wanavyotaka wanapewa muongozo kuwa watapigiwa simu kwa maelezo zaidi.
Baada ya mafumzo ya mujibu wa sheria kuisha, vijana wote wanarudi makwao mara moja na haijarishi ulifanya usaili au haukufanya. Na hata wale wanaofanikiwa kwenye huo usaili wanaondokea makwao kwenda kwenye kozi.
Nakumbuka Op makao makuu mujibu, usaili wa Military science uliwaangukia waliopangiwa 845kj, na hapa watoto wa wakubwa kutoka kambi nyingine waliletwa kiuficho na wakafanya usaili.
Nealed it📌Sisi kipindi tupo 823KJ mwaka 2013 wakati tunamalizia kozi ya miezi minne tuliulizwa anayetaka kujiunga na jeshi baada ya mafunzo ya mujibu tuliandika majina na baada ya kuanza chuo tulipigiwa simu ilikuwa ni 2014 mwezi wa tatu hivi watu wakaunga bogi la TMA
823 msange..😂😂Sisi kipindi tupo 823KJ mwaka 2013 wakati tunamalizia kozi ya miezi minne tuliulizwa anayetaka kujiunga na jeshi baada ya mafunzo ya mujibu tuliandika majina na baada ya kuanza chuo tulipigiwa simu ilikuwa ni 2014 mwezi wa tatu hivi watu wakaunga bogi la TMA
Nealed itSisi kipindi tupo 823KJ mwaka 2013 wakati tunamalizia kozi ya miezi minne tuliulizwa anayetaka kujiunga na jeshi baada ya mafunzo ya mujibu tuliandika majina na baada ya kuanza chuo tulipigiwa simu ilikuwa ni 2014 mwezi wa tatu hivi watu wakaunga bogi la TMA
😁Duh Vijana wa kazi bdo tu ni nyie tena muda huuImeeleweka
Muda Wa kusubiri PDF
Washazoea kukesha😁Duh Vijana wa kazi bdo tu ni nyie tena muda huu
Nadhani utakuwa unawafahamu afande ng'ombe, bulilo etc.Sisi kipindi tupo 823KJ mwaka 2013 wakati tunamalizia kozi ya miezi minne tuliulizwa anayetaka kujiunga na jeshi baada ya mafunzo ya mujibu tuliandika majina na baada ya kuanza chuo tulipigiwa simu ilikuwa ni 2014 mwezi wa tatu hivi watu wakaunga bogi la TMA
Emu Keshokutwa Waachie hiyo PDF mana Lasivyo naona vijana wakiugua "SLEEPING SICKNESS" this month 😎Washazoea kukesha