Kuna dogo walimchomoa kule.mafimga UNFIT akapigiwa pande juu kwa juu akaenda Magereza nae kamaliza hizi 1200 za juzijuzi hapaKuna mwamba mmoja hvo hvo aliingia kihangaiko akaonekana unfit alivyorud mzee wake akaenda lugalo pale kumpima akaonekana yupo vzr tu kiafya na utimamu wa mwili..mzee wake akamaind akawapgia smu na kuuliza kwann karudishwa kijana wake na wakt yupo vzr hana tatzo lolote, wakajitetea kusema kwamba hawakujua kama ni mwanae lkn pia watu ni wengi hvyo walikuwa wanapima kwa haraka haraka....bhas dogo akamuambia mzee wake ampeleke magereza dogo kapiga kozi kule kamaliza......
Sielewi unakuaje unfit jeshi fulani then unakua fit jeshi lingine.....Kuna dogo walimchomoa kule.mafimga UNFIT akapigiwa pande juu kwa juu akaenda Magereza nae kamaliza hizi 1200 za juzijuzi hapa
Usiwe na target moja kijana, kazi za vyomboni zina limit ya miaka. Komaa na kazi kitaani, Mungu akifungua mlango wa chomboni ni heri, otherwise usikae tu kutegemea sehemu moja.Daa sisi wengine , umri unasonga, sijui tutaingia vyomboni lini, mibanga yenyewe imejaa sound tu, kuna muda mpaka una kata tamaa, unajiona kabisa, wewe sio tena wa chomboni,
Wakati mwingine Mungu anakuw hajakupangia huko...kuna dogo alipiga ccp course zaidi ya miez 7 akatoka kwa sababu fulani, akarud kitaa kuanz moja...hakukata tamaa ila sasa hivi kapata mchongo anapata salary mara 3 ya ambayo angepata chomboni. Ingawa ilimpa depression sana alipotoka kule na akawa ana mentality ya kuingia vyomboni tu.Mungu anajua hatima ya mtu ikibuma sip vya ku force Kuna kupoteza maisha
Jamaa wa ikuru kaniambia una roho mbaya wivu chuki na njaa vinakusumbua kaa utulieWe jamaa wa ikuru bana tumekuchoka bana...sasa kama kampenyeza si inatuhusu nini..kila siku jamaa wa ikuru tu
Wengi hichi kitu hatujui nakumbuka time nimemaliza form four nilitaka kwenda field force na nafasi ilipatikana usiku ikatakiwa niende kikosini asubuhi yakeWakati mwingine Mungu anakuw hajakupangia huko...kuna dogo alipiga ccp course zaidi ya miez 7 akatoka kwa sababu fulani, akarud kitaa kuanz moja...hakukata tamaa ila sasa hivi kapata mchongo anapata salary mara 3 ya ambayo angepata chomboni. Ingawa ilimpa depression sana alipotoka kule na akawa ana mentality ya kuingia vyomboni tu.
Kwa tpdf mibanga ya uhakika ni kuanzia Meja kupanda juuDaa sisi wengine , umri unasonga, sijui tutaingia vyomboni lini, mibanga yenyewe imejaa sound tu, kuna muda mpaka una kata tamaa, unajiona kabisa, wewe sio tena wa chomboni,
Major kma major au kuanzia major generalKwa tpdf mibanga ya uhakika ni kuanzia Meja kupanda juu
Hawa wa chini wanategemea kupata nafasi kwa mahusiano yao mazuri na wakuu
Mibanga sometimes hata wenyewe mambo yanakuwa magumu ila huwa hawasemi
Note
Mibanga mizuri ni ile inayojitolea yenyewe kukupambania bila kumpa hela wala return yoyote
Umenena vema sana ndugu yanguWhat i know bhana kwa mwanajeshi connection inategemea upo wapi na una uhusiano gani na wakubwa zako.Kuna staff surgent ana muendesha mkuu wa majeshi na luteni kanali maybe yupo mgulani. Mwenye probability kubwa ya kumsaidia mtu kuingia jeshini kwa haraka ni dereva wa mkuu wa majeshi kuliko luteni kanali wa mgulani.
So ukisema mbanga wa uhakika jeshin ni kuanzia major nakataa kabisa kwasababu nimeshuhudia major mmoja alkuwa mgulani na alishindwa kumsaidia mdg wake kupata nafasi jeshin.
Hoja nzuri.What i know bhana kwa mwanajeshi connection inategemea upo wapi na una uhusiano gani na wakubwa zako.Kuna staff surgent ana muendesha mkuu wa majeshi na luteni kanali maybe yupo mgulani. Mwenye probability kubwa ya kumsaidia mtu kuingia jeshini kwa haraka ni dereva wa mkuu wa majeshi kuliko luteni kanali wa mgulani.
So ukisema mbanga wa uhakika jeshin ni kuanzia major nakataa kabisa kwasababu nimeshuhudia major mmoja alkuwa mgulani na alishindwa kumsaidia mdg wake kupata nafasi jeshin.
Mbanga ya uhakika ni kuanzia wale wanaovaa vijogoo (kanali kwenda juu huko kwa majenerali), kwa meja ni ngumu labda naye aongee na wakubwa zake, ila yeye kama yeye haweziKwa tpdf mibanga ya uhakika ni kuanzia Meja kupanda juu
Hawa wa chini wanategemea kupata nafasi kwa mahusiano yao mazuri na wakuu
Mibanga sometimes hata wenyewe mambo yanakuwa magumu ila huwa hawasemi
Note
Mibanga mizuri ni ile inayojitolea yenyewe kukupambania bila kumpa hela wala return yoyote
Kaka haya mambo hayana formula!!! Mimi nilipewa connection na brigedier kabsa.. Lkn mpaka leo naona hakieleweki kituMbanga ya uhakika ni kuanzia wale wanaovaa vijogoo (kanali kwenda juu huko kwa majenerali), kwa meja ni ngumu labda naye aongee na wakubwa zake, ila yeye kama yeye hawezi
Huyo hakuwa tayari kukusaidia hao majenerali ndio wazee wa simu mojaKaka haya mambo hayana formula!!! Mimi nilipewa connection na brigedier kabsa.. Lkn mpaka leo naona hakieleweki kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa nshatambua una utoto mwingi sana unaleta masihara kwenye vitu vya serious kabisa haya ni maisha ya watu watu wanafight....we unatuletea porojo zako hapa....kwana humu ndani we peke yako ndio una connection ya uhakika.....au ulishaona nani humu ndani anahangaika kila kukicha kuipromo connection yake.....tuliosoma cuba tushaelewa kitambo sana hapo unataka uwapige watoto wa masikini wenzako vijisenti tu...pambana brooh fanya kazi maisha so marahisi hvo......eti jamaa wa ikuru.....mtaje majina hapa basi kama unajiamini.....Jamaa wa ikuru kaniambia una roho mbaya wivu chuki na njaa vinakusumbua kaa utulie
Tafuta connection uache makasiriko kijana
Inawezekana!!! Mana hata txt zangu hajibu saiv dahHuyo hakuwa tayari kukusaidia hao majenerali ndio wazee wa simu moja
Canal pale makao makuu ya jeshi ni mdg sana kuanzia Brighedia general ndio uhakika sana sana.Mbanga ya uhakika ni kuanzia wale wanaovaa vijogoo (kanali kwenda juu huko kwa majenerali), kwa meja ni ngumu labda naye aongee na wakubwa zake, ila yeye kama yeye hawezi
Jamaa muhuni tyuu huyo anajikuta mjuaji sanaawe jamaa nshatambua una utoto mwingi sana unaleta masihara kwenye vitu vya serious kabisa haya ni maisha ya watu watu wanafight....we unatuletea porojo zako hapa....kwana humu ndani we peke yako ndio una connection ya uhakika.....au ulishaona nani humu ndani anahangaika kila kukicha kuipromo connection yake.....tuliosoma cuba tushaelewa kitambo sana hapo unataka uwapige watoto wa masikini wenzako vijisenti tu...pambana brooh fanya kazi maisha so marahisi hvo......eti jamaa wa ikuru.....mtaje majina hapa basi kama unajiamini.....
Ukiwa ofisi ya utumishi pale jeshini majina yanapo printiwa ni raha sana hiajarishi cheo chako.Canal pale makao makuu ya jeshi ni mdg sana kuanzia Brighedia general ndio uhakika sana sana.
Though kuna rafki yangu mtt wa Brighedia ilibidi aende cadert mwez wa 12 ila alichujwa kisa umri alkuwa na 30yrs.
What i can conclude jeshini anaehusika na ajira(Afisa uajiri jeshini ni Brighedia ****)So kuanzia Brighedia ambae atakuwa senior kwa huyo au waliopiga nae kozi intake moja(Hapa wanaweza kuwa intake moja ila wenzake bado wakawa ni major,canal,luteni kanali inadepend na aliyewahi kupiga kozi ya kupanda cheo na kufaulu mithn) na marafiki zake wa karibu ndo wanaweza atleast kuwa na chance au na huruma yake na moyo wake pia kusaidia kwa wale watakaomfuata direct huwa anawasaidia.
Yaaaah upo sahihiUkiwa ofisi ya utumishi pale jeshini majina yanapo printiwa ni raha sana hiajarishi cheo chako.