mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Kuna dogo walimchomoa kule.mafimga UNFIT akapigiwa pande juu kwa juu akaenda Magereza nae kamaliza hizi 1200 za juzijuzi hapaKuna mwamba mmoja hvo hvo aliingia kihangaiko akaonekana unfit alivyorud mzee wake akaenda lugalo pale kumpima akaonekana yupo vzr tu kiafya na utimamu wa mwili..mzee wake akamaind akawapgia smu na kuuliza kwann karudishwa kijana wake na wakt yupo vzr hana tatzo lolote, wakajitetea kusema kwamba hawakujua kama ni mwanae lkn pia watu ni wengi hvyo walikuwa wanapima kwa haraka haraka....bhas dogo akamuambia mzee wake ampeleke magereza dogo kapiga kozi kule kamaliza......