Yamara nyingi wanakuwa ni security officers ,kuna wanangu walienda mwakajuz walichukuliwa makambini wakafanya usahili mgulani now naona safari za ndege tuu hadi wameshajenga.
Salary ni za kawaida plus posho kiasi ila lazima ujenge na ule biaSalary yake ipo vizur?
Ya
walichukua wenye form 4 na form 6 wenye ufaulu wa english na kiswahili,but kila mwaka huwa wanapita vikosini kuchukua, salary iko vizuriSalary yake ipo vizur?
Ya
kuna huyo mchiz wa kombania moja aliingia bot ule mshahara wa kwanza tuu akamnunulia dem wake aliemuacha kikosini iphon x akamtumia .jamaa wanalipwa vizuriSalary yake ipo vizur?
Ya
Huyo anakuwa hajaamua kukusaidiaKaka haya mambo hayana formula!!! Mimi nilipewa connection na brigedier kabsa.. Lkn mpaka leo naona hakieleweki kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanakuwa na nafasi zao kabisa huyo hajaamua kumsaidia kuazi one [emoji93] Ana nafasi yakeHuyo hakuwa tayari kukusaidia hao majenerali ndio wazee wa simu moja
Ok sawa hizi zenyewe nitamwambia jamaa wa ikuru anisaidie kumpigia pande Boda wangu Choba aingie chomboniMsife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole
Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama mlivyosikia hapo kuwa mwezi kuna ajira zingine ni vyema mkaanza kujipendekeza kwa wakubwa mapema
Jiungeni kwenye kwaya za wazee makanisani kwenu zina wastafu wengi
Kwa kigoma kanisa la Roma katubuka kuna meja general mstaafu anasali pale na kuimba kwaya ana spacio ya silver
Roman Catholic kigango cha mlole kuna mkuu mstaafu wa magereza alikuwa tabora kastafu mwaka jana
Kanisa la (sijui) Lipo pale saigoni kuna RCO huwa anasali pale na ni mwenyekiti wa kwaya
Pia ndugu yetu TPDF_23 endelea kuendesha bodaboda hapo nyasura
Nafasi za cadet pia ??Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole
Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Mwez wa 8 wanakuja wepi ni jwtz au mambo ya ndani??Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole
Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Wakuu wengi ukiwafat huko hawana shida nishabumumiana na wakuu kibao kanisani wako simple sanaKama mlivyosikia hapo kuwa mwezi kuna ajira zingine ni vyema mkaanza kujipendekeza kwa wakubwa mapema
Jiungeni kwenye kwaya za wazee makanisani kwenu zina wastafu wengi
Kwa kigoma kanisa la Roma katubuka kuna meja general mstaafu anasali pale na kuimba kwaya ana spacio ya silver
Roman Catholic kigango cha mlole kuna mkuu mstaafu wa magereza alikuwa tabora kastafu mwaka jana
Kanisa la (sijui) Lipo pale saigoni kuna RCO huwa anasali pale na ni mwenyekiti wa kwaya
Pia ndugu yetu TPDF_23 endelea kuendesha bodaboda hapo nyasura
Ww jamaa nikajua umezama aiseNimewamiss ndugu zangu
Umejuaje wa kwa mujibu hawapo ilihali bado watu hawajaripoti.?.Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole
Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Atuambie amejuaje!! Au yeye ni afisa muajiri wa jeshi[emoji23]Umejuaje wa kwa mujibu hawapo ilihali bado watu hawajaripoti.?.
Issue ni kumpa mtu connection na haumfahamu in deepWakuu wengi ukiwafat huko hawana shida nishabumumiana na wakuu kibao kanisani wako simple sana