Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi haya majina yaliyotoka ndo reserve au au ndo reserve iko pale pale itaingia kmya kmya jeshini bila kupostiwa na website
 
Nimelinganisha majina ya hayo second selection na Waliitwa kwnye usaili nyie yan pasu kwa pasu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nusu wapo nusu hawakuwepo sasa sijui reserve ndo wameisha au ndo kuna third selection pia
 
Umesoma wapi
Mujibu unatokaje kitaa na kuingia tu chomboni kama sio specialists wa nyanja fulani? Em nieleweshe kaka kwa ujuavyo wewe huo mwezi wa nane wataingiaje na pia kihesabu sidhani kama itakuwa kweli maana hawa waliopo Msata wanaweza wakafunga mwaka ndo wakaapa sasa hao wa mwezi wa8 sijui itakuwa vp nisaidi maelezo kidogo kaka..
 
Dah asee...na ukipata mtu anaeza kukupambania ukaingia na awa second draft wa polisi atakama jina lako alijawa shortlisted apo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…