botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Kuna habari gani tena mkuu?Wale wa Jei wii mpoo
Ni la kweli nenda kwenye page zao utalikuta hukoHili tangazo la kitapeli magereza hawaajiri wazanzibar
Kuna posta mkuu safari ya jero tuKAma unapokaa hamna posta sikushauri utume
Lete habariWale wa Jei wii mpoo
Kiongozi eti uhamiaji kozi ni miezi mingapinimekuja kuwasalimu maafande coz kitambo sijaripoti kwenye huu uzi.
usipokuwa na mtu sahihi na connection kali utaulizia sana intake za vyombo hivi lakini hauto ingia mzigoni .
nawapa updates UT lile genge lenye nguvu lipo linahojiwa ngazi za juu kitaifa ,kuhusu biasness and unfair selection.
Naomba nijibiwe wakuu [emoji115]Wakuu hiv uhamiaji kozi yao ni muda gani inachukua ,yani miezi mingapi
Kama posta ipo ..usiache kutumaKuna posta mkuu safari ya jero tu
Mainjinia je?? Tukaembali pia mkuu??Kama una fani hizi omba tofauti na hapo angalia upepo mwengine tuu
1.fani za afya zote ombaa
2.madereva yan omba kabisaa
3.wachomeleajiii
4.washonajiiii
Tofauti na hapo usiombe magereza
Hahahaha tupo wengi aseeHizi mambo za kuomba ajira za majeshi, nimepiga chini aiseee, nimesha omba sana, nikiambulia kupigwa Ndoige
Sahivi, nasubiri muujiza kutoka mbinguni ..
Tusikate tamaa wanangu!!! Mimi pia nilishakataga tamaa kabisa. Ila juzi kuna mwanangu tulikua tunahustle wote ishu za polisi jina lake limetoka second selection, kwahyo tangu hiyo siku nkaamini kunakuwaga na bahati sometimes!!!TUOMBE TU HIVO HIVO, tusikate tamaa wananguHahahaha tupo wengi asee
Allahumma amiin,kuna lonja UT wanakuja tenaTusikate tamaa wanangu!!! Mimi pia nilishakataga tamaa kabisa. Ila juzi kuna mwanangu tulikua tunahustle wote ishu za polisi jina lake limetoka second selection, kwahyo tangu hiyo siku nkaamini kunakuwaga na bahati sometimes!!!TUOMBE TU HIVO HIVO, tusikate tamaa wanangu
Sent using Jamii Forums mobile app
6 mkuu,ila mwka jana walifika 8+ hviiKiongozi eti uhamiaji kozi ni miezi mingapi