Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ivi wanangu kama nina licnce ya daraja A A2 na D....
Na cerificate ya driving schools
Na gamba langu la mujibu

Naeza unga na izi za magereza za saivi?!
 
Wakuu hiv uhamiaji kozi yao ni muda gani inachukua ,yani miezi mingapi
 
nimekuja kuwasalimu maafande coz kitambo sijaripoti kwenye huu uzi.

usipokuwa na mtu sahihi na connection kali utaulizia sana intake za vyombo hivi lakini hauto ingia mzigoni .

nawapa updates UT lile genge lenye nguvu lipo linahojiwa ngazi za juu kitaifa ,kuhusu biasness and unfair selection.
Kiongozi eti uhamiaji kozi ni miezi mingapi
 
Kama una fani hizi omba tofauti na hapo angalia upepo mwengine tuu

1.fani za afya zote ombaa
2.madereva yan omba kabisaa
3.wachomeleajiii
4.washonajiiii

Tofauti na hapo usiombe magereza
 
Asee nauliza tena au hakuna wajuzi,hivi uhamiaji kozi yao ni miezi mingapi?
 
Hahahaha tupo wengi asee
Tusikate tamaa wanangu!!! Mimi pia nilishakataga tamaa kabisa. Ila juzi kuna mwanangu tulikua tunahustle wote ishu za polisi jina lake limetoka second selection, kwahyo tangu hiyo siku nkaamini kunakuwaga na bahati sometimes!!!TUOMBE TU HIVO HIVO, tusikate tamaa wanangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna lonja nimeisikia uhamiaji wanakuja tena hivi karibuni sasa itakuwaje na kuna ambao wapo kozi toka February apo??
 
Tusikate tamaa wanangu!!! Mimi pia nilishakataga tamaa kabisa. Ila juzi kuna mwanangu tulikua tunahustle wote ishu za polisi jina lake limetoka second selection, kwahyo tangu hiyo siku nkaamini kunakuwaga na bahati sometimes!!!TUOMBE TU HIVO HIVO, tusikate tamaa wanangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Allahumma amiin,kuna lonja UT wanakuja tena
 
Back
Top Bottom