mkuu tangu lini UT ikawa miez mitatu, navojua kwa MOHA ni zimamoto pekee ndio wana kozi ya miez 3 hivi. UT intake iliyopita walipiga miez takribani 8. na hili bogi la juzi limeanza kozi rasmi trh 20 mwezi wa tatuuUT mda wa kozi ni three months... Ila Kwa last time kulikuwa na mabogi mawili ambayo yalikuwa combined ivyo ilibidi mda usogee kuanza kozi kisubiri bogi la pili... Ndo mana mda ulisogea
Ila ni three months
Nimeshare ninachojua... Mwisho wa kunuuumkuu tangu lini UT ikawa miez mitatu, navojua kwa MOHA ni zimamoto pekee ndio wana kozi ya miez 3 hivi. UT intake iliyopita walipiga miez takribani 8. na hili bogi la juzi limeanza kozi rasmi trh 20 mwezi wa tatuu
nikweli afsa,ila haipo hvo.Nimeshare ninachojua... Mwisho wa kunuuu
Tupeane lonja... Na kusubiri taarifa... Hizi za kozi ni how long havina maana... Wasaka tonge tusichoke ku apply... One day tutazama...nikweli afsa,ila haipo hvo.
UT pagumu sana afsa wangu,ukiweka mitego usiwategemee sanaTupeane lonja... Na kusubiri taarifa... Hizi za kozi ni how long havina maana... Wasaka tonge tusichoke ku apply... One day tutazama...
Yap napafahamu... Huko binafsi Huwa sipafikirii...UT pagumu sana afsa wangu,ukiweka mitego usiwategemee sana
Tamisemi si uliomba???UT pagumu sana afsa wangu,ukiweka mitego usiwategemee sana
fani yangu hairuhusu tamisemi,mimi ni majeshi ,utumishi na NGOsTamisemi si uliomba???
Lete lonjaa baba..!!Wale wa Jei wii mpoo
Luteni,Huko juu wadau wanasema UT wanakuja tena.fani yangu hairuhusu tamisemi,mimi ni majeshi ,utumishi na NGOs
yaani kama technique ile iligonga mwamba, na walichomfanyia yule dada na washkaji wengine daah sija give up,ila imani nao imedrop kinoma yani,sababu hujui saa wala dakika wtakayo kutimua mafunzoni ili wampachike mtoto wa kigogo,Luteni,Huko juu wadau wanasema UT wanakuja tena.
Kikubwa kujipanga nje ya uwanja..!![emoji28]
Kuaandaa mazingira kabisa..!
Asee tukibahatika kwenda kule inabidi tumuombe Sana mungu kila siku iendayo kwa mungu Ili usijechomolewayaani kama technique ile iligonga mwamba, na walichomfanyia yule dada na washkaji wengine daah sija give up,ila imani nao imedrop kinoma yani,sababu hujui saa wala dakika wtakayo kutimua mafunzoni ili wampachike mtoto wa kigogo,
Hii intake ya juzi na wao watapata wenzao wengine wakupiga nao kozimkuu tangu lini UT ikawa miez mitatu, navojua kwa MOHA ni zimamoto pekee ndio wana kozi ya miez 3 hivi. UT intake iliyopita walipiga miez takribani 8. na hili bogi la juzi limeanza kozi rasmi trh 20 mwezi wa tatuu
yaah afsa wanguAsee tukibahatika kwenda kule inabidi tumuombe Sana mungu kila siku iendayo kwa mungu Ili usijechomolewa
Mbwembwe tu hizo anuani zipo hapo andika barua yakoNipe hints ,amesema unapojibu tafadhali taja,amemanishaje kuhusu apo juu kwenye zile contacts zao zitajwe wapi View attachment 2617205
Nilishakujibu chief huwa ni miezi 6Asee nauliza tena au hakuna wajuzi,hivi uhamiaji kozi yao ni miezi mingapi?
Jambo litakalo fanya niache kuomba ajira za majeshi ni KIFO tuHizi mambo za kuomba ajira za majeshi, nimepiga chini aiseee, nimesha omba sana, nikiambulia kupigwa Ndoige
Sahivi, nasubiri muujiza kutoka mbinguni ..
Inategemea na umbali na njia unayotumia chiefSamahani wadau ivi kutuma barua posta n shingap