Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

UT mda wa kozi ni three months... Ila Kwa last time kulikuwa na mabogi mawili ambayo yalikuwa combined ivyo ilibidi mda usogee kuanza kozi kisubiri bogi la pili... Ndo mana mda ulisogea
Ila ni three months
 
mkuu tangu lini UT ikawa miez mitatu, navojua kwa MOHA ni zimamoto pekee ndio wana kozi ya miez 3 hivi. UT intake iliyopita walipiga miez takribani 8. na hili bogi la juzi limeanza kozi rasmi trh 20 mwezi wa tatuu
 
Luteni,Huko juu wadau wanasema UT wanakuja tena.

Kikubwa kujipanga nje ya uwanja..!![emoji28]

Kuaandaa mazingira kabisa..!
yaani kama technique ile iligonga mwamba, na walichomfanyia yule dada na washkaji wengine daah sija give up,ila imani nao imedrop kinoma yani,sababu hujui saa wala dakika wtakayo kutimua mafunzoni ili wampachike mtoto wa kigogo,
 
Asee tukibahatika kwenda kule inabidi tumuombe Sana mungu kila siku iendayo kwa mungu Ili usijechomolewa
 
mkuu tangu lini UT ikawa miez mitatu, navojua kwa MOHA ni zimamoto pekee ndio wana kozi ya miez 3 hivi. UT intake iliyopita walipiga miez takribani 8. na hili bogi la juzi limeanza kozi rasmi trh 20 mwezi wa tatuu
Hii intake ya juzi na wao watapata wenzao wengine wakupiga nao kozi
Nadhani bogi lengine litaongezeka so muda mrefu
 
Samahani wadau ivi kutuma barua posta n shingap
Inategemea na umbali na njia unayotumia chief
Kama Posta ya kawaida gharama zipo chini kulinganisha na EMS
Nenda pale posta watacalculate na watakuambia bei
 
Back
Top Bottom