MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Vijana wale kwa urefu ya kamba yaoNarudia tena hafai Kama yeye anafikiria kupata kazi kwa ajili ya kuja kudhulumu haki za watu hafai narudia tena hafai na mapenzi ya Mungu yatimizwe asitafute kazi kwa mawazo ya kuja kudhulumu haki za watu kula rushwa hafai
Ndio hivyo mkuu.kiukweli ajira za jwtz mpaka sasa walitumia siasa kudanganya watu ajira za mwezz
kiukweli mpaka sasa ajira za jwtz zilitangazwa kisiasa kudanganya watanzani ila hii tabia ya jwtz waliopo ni watu wanajionaje wanatangaza ajira mwisho kimya wakat watoto wa maskin walifunga safari hadi ngome kupeleka barua walitoka mikoa mbalimbali jeshi lilianza kuaribika kuanzia op makao walifanyiwa usahil wa uongo laiti mungu angetokea na kuwaumbua hawa wakuu wanaoleta ajira za siasa
nikukumbushe tu Wizara inaitwa wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa inakosaje uhusiano?Hakuna uhusiano mbona kati ya miaka 60 ya JKT na kuita watu kwa ajili ya either mafunzo au masahiliano hakuna uhusiano wowote Kama kweli ajira zilitangazwa kwa vijana kutoka uraiani waliopita JKT walikuwa wanamaanisha kweli na sio siasa wakati uliokusudiwa ukifika wataita hayo mambo ya 60 hayawezi kusimamisha au kuchelewesha Jambo Hilo kwa kuwa hakuna uhusiano wowote.
yaah huwa havihusiani kabisa, we unazan wakat wanafanya vyote hivo huko nyuma hawakujua kama kuna miaka 60 ya jktnikukumbushe tu Wizara inaitwa wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa inakosaje uhusiano?
sasa hili tangazo la 2020 ndugu
Hamna uhusiano. Jeshi linaajiri likipewa Kibali na likiw na uhitaji. Sio kutoa ajira kwa sababu ya maadhimisho. Kila kitu kina bajeti yake.Uhusiano upo jamani.. na nimesikia katika maadhimisho hayo lazima wachukue vijana wa jkt.
Kazi hizi Tanapa tangazo limetoka jana via UTUMISHI
[emoji119]Hamna uhusiano. Jeshi linaajiri likipewa Kibali na likiw na uhitaji. Sio kutoa ajira kwa sababu ya maadhimisho. Kila kitu kina bajeti yake.
nawapa lonja vijana wangu hamtaki mimi nipo kwenye chombo najuaUhusiano upo jamani.. na nimesikia katika maadhimisho hayo lazima wachukue vijana wa jkt.
Sawa ngojeni tuoneHamna uhusiano. Jeshi linaajiri likipewa Kibali na likiw na uhitaji. Sio kutoa ajira kwa sababu ya maadhimisho. Kila kitu kina bajeti yake.
amna kinachoshindikana, op makao waliwakuta mujib wapo kozi,op samia nao walikua makambini" mujib wakawakuta wakaondoka" wao bado hawajafungua koziWatachukuaje? Wakat form six wapo course labda useme mwez wa tisa
Me naona ni mpaka Mujibu wamalize kwa sababu Rts Kihangaiko kuna kozi inaendelea lakini pia kuna mujibu wamepangiwa kozi Oljoro ambayo nayo ni RtS so apo mpaka waondoke ndo wataingia kozi ya Privateamna kinachoshindikana, op makao waliwakuta mujib wapo kozi,op samia nao walikua makambini" mujib wakawakuta wakaondoka" wao bado hawajafungua kozi
Wanakwambia jkt na jaywiii havina uhusianoMe naona ni mpaka Mujibu wamalize kwa sababu Rts Kihangaiko kuna kozi inaendelea lakini pia kuna mujibu wamepangiwa kozi Oljoro ambayo nayo ni RtS so apo mpaka waondoke ndo wataingia kozi ya Private
NB:NI MAWAZO YANGU LAKINI
JKT si ni moja ya kamandi ya TPDF kwanini waseme visiwe na uhusiano?Wanakwambia jkt na jaywiii havina uhusiano
Mi mwenyewe nashangaaJKT si ni moja ya kamandi ya TPDF kwanini waseme visiwe na uhusiano?
Watu wasichokijua kuwa jkt ni moja ya kamandi za jwtz ambapo kila kitu kinaingiliana tofauti tu ni majukumu.JKT si ni moja ya kamandi ya TPDF kwanini waseme visiwe na uhusiano?