Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Narudia tena hafai Kama yeye anafikiria kupata kazi kwa ajili ya kuja kudhulumu haki za watu hafai narudia tena hafai na mapenzi ya Mungu yatimizwe asitafute kazi kwa mawazo ya kuja kudhulumu haki za watu kula rushwa hafai
Vijana wale kwa urefu ya kamba yao

Wakinikamata mtaani kama nimekaa kiboya wanichomoe pesa .

Vijana mkituonea huruma sisi raia sio kwamba sisi ndio tutawaonea huruma na nyinyi
Mkipata nafasi itumie
 
kiukweli ajira za jwtz mpaka sasa walitumia siasa kudanganya watu ajira za mwezz

kiukweli mpaka sasa ajira za jwtz zilitangazwa kisiasa kudanganya watanzani ila hii tabia ya jwtz waliopo ni watu wanajionaje wanatangaza ajira mwisho kimya wakat watoto wa maskin walifunga safari hadi ngome kupeleka barua walitoka mikoa mbalimbali jeshi lilianza kuaribika kuanzia op makao walifanyiwa usahil wa uongo laiti mungu angetokea na kuwaumbua hawa wakuu wanaoleta ajira za siasa
Ndio hivyo mkuu.

Kikubwa tafua mbanga upenye tu..
 
Hakuna uhusiano mbona kati ya miaka 60 ya JKT na kuita watu kwa ajili ya either mafunzo au masahiliano hakuna uhusiano wowote Kama kweli ajira zilitangazwa kwa vijana kutoka uraiani waliopita JKT walikuwa wanamaanisha kweli na sio siasa wakati uliokusudiwa ukifika wataita hayo mambo ya 60 hayawezi kusimamisha au kuchelewesha Jambo Hilo kwa kuwa hakuna uhusiano wowote.
nikukumbushe tu Wizara inaitwa wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa inakosaje uhusiano?
 
nikukumbushe tu Wizara inaitwa wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa inakosaje uhusiano?
yaah huwa havihusiani kabisa, we unazan wakat wanafanya vyote hivo huko nyuma hawakujua kama kuna miaka 60 ya jkt
 
Uhusiano upo jamani.. na nimesikia katika maadhimisho hayo lazima wachukue vijana wa jkt.
 
Uhusiano upo jamani.. na nimesikia katika maadhimisho hayo lazima wachukue vijana wa jkt.
Hamna uhusiano. Jeshi linaajiri likipewa Kibali na likiw na uhitaji. Sio kutoa ajira kwa sababu ya maadhimisho. Kila kitu kina bajeti yake.
 
amna kinachoshindikana, op makao waliwakuta mujib wapo kozi,op samia nao walikua makambini" mujib wakawakuta wakaondoka" wao bado hawajafungua kozi
Me naona ni mpaka Mujibu wamalize kwa sababu Rts Kihangaiko kuna kozi inaendelea lakini pia kuna mujibu wamepangiwa kozi Oljoro ambayo nayo ni RtS so apo mpaka waondoke ndo wataingia kozi ya Private

NB:NI MAWAZO YANGU LAKINI
 
Me naona ni mpaka Mujibu wamalize kwa sababu Rts Kihangaiko kuna kozi inaendelea lakini pia kuna mujibu wamepangiwa kozi Oljoro ambayo nayo ni RtS so apo mpaka waondoke ndo wataingia kozi ya Private

NB:NI MAWAZO YANGU LAKINI
Wanakwambia jkt na jaywiii havina uhusiano
 
JKT si ni moja ya kamandi ya TPDF kwanini waseme visiwe na uhusiano?
Watu wasichokijua kuwa jkt ni moja ya kamandi za jwtz ambapo kila kitu kinaingiliana tofauti tu ni majukumu.
Ndani ya jeshi la wananchi jwtz kuna kamandi tano ambapo ndio muundo wa jeshi
1.kamandi chini ya makao makuu ya jeshi MMJ
2.Kamandi ya jeshi la wanamaji navy force
3.Kamandi ya jeshi la ardhini Land force
4.Kamandi ya jeshi la anga airforce
5.kamandi ya jeshi la kujenga taifa jkt
 
Back
Top Bottom