Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kazi kwenu jamani mkakutane na Hamza
[emoji23]usiwashtue,watajua hawajui,kama wanawaza mishahara tu na mikopo na kubull buti ukimwaga maji walioomba nafasi hizo wajitafakari sana kazi hii ya kupambana na kina Hamza..
 
MWENYE UPDATE YEYOTE

JE USAILI USALAMA WA TAIFA TISS TAYARI?
 
Kinachosubiriwa ni usaili tu sahivi .hatua nyengine zifuate
 
Habari zenu Wakuu.Nimeona Gazeti la Habari Leo hii taarifa.Kuna Mwenye kuelewa taarifa kamili.Kuhusu Ajira za Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi ni zero kabisa! Yaani mtu kaferi form four ana four ya 26 hadi 32 ndiyo akawe mwana usalama wa kulinda raia na mali zake kweli??
Kuwa na four ya 26 huna akili au tuache kuishi kwa kukaririr kuwa division 1,2,3 n madaraja tu na pia unaweza kuwa uwezo mdogo nje ya box kuna kipindi akili inaweza kuamka ukafanya makubwa wapo walikata four ya 26 sijui 30 na hawakukata tamaa na wa degree au masters na chuoni wamefanya vizuri tu

Jeshi la polisi kuna watu wasomi sana wapo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…