Mfano mimi muda wowote ule ukiniambia tukimbie jogging umbali mrefu nitatoboa au nikupigie push ups naruka nazo tu vzuriHizi kazi zikitangwaza unaweza hisi umeshapata,, kuna kipindi nilianza na kukimbia mbio ili nipate pumzi , nikaanza na kukumbushia kwata za pass square lakini waapi.... nilipigwa ndoige hata damu sikupimwa(Maana bora ningepimwa hata damu nijue afya yangu)
All in all mungu ni mwema.
Nawatakia kila lakheri maafsa , kila mtu kashaandikiwa kuwa atashibia wapi.
😅😅 ndoige hazikwepekiHizi kazi zikitangwaza unaweza hisi umeshapata,, kuna kipindi nilianza na kukimbia mbio ili nipate pumzi , nikaanza na kukumbushia kwata za pass square lakini waapi.... nilipigwa ndoige hata damu sikupimwa(Maana bora ningepimwa hata damu nijue afya yangu)
All in all mungu ni mwema.
Nawatakia kila lakheri maafsa , kila mtu kashaandikiwa kuwa atashibia wapi.
Ukipata mtaji unasahau na habar za majesh 🥰🥰🥰
Polisi wana hayo ? Nafikili unaenda CCP ukimaliza huko unapelekwa sasa kuanza kazi yani kama usahili wa udereva nahisi unafanyiwa ushakuwa polisiMbona member mpo kimya nimeona kujua aliwahi kufanya usahili wa polisi kwa upande wa madereva usahili unakuaje
Maanisha kwa upande wa fani ya certificate ya driving usahili dar unakuaje kwa upande wa fani ya drivingPolisi wana hayo ? Nafikili unaenda CCP ukimaliza huko unapelekwa sasa kuanza kazi yani kama usahili wa udereva nahisi unafanyiwa ushakuwa polisi
Kukumbushana ni muhimuTukumbushane kidogo mwezi wa kumi ndo unaenda kumalizikaView attachment 2787217View attachment 2787217
Muda bado mkuu.Tukumbushane kidogo mwezi wa kumi ndo unaenda kumalizikaView attachment 2787217View attachment 2787217
Mkuu mbona kama Kuna jambo unalifahamu hivi, "tamka neno mkuu", (kwa sauti ya maafande) [emoji16][emoji16]Muda bado mkuu.
Ni swala la muda tu.
Mkuu Jadda vp lonja ya military science wale mujibu wa form six mwaka huu nini kinaendeleaMkuu mbona kama Kuna jambo unalifahamu hivi, "tamka neno mkuu", (kwa sauti ya maafande) [emoji16][emoji16]
Ukiwa na maaana Gani???
Polisi ni kazi kwa watu ambao akili zao zipo stagnant!!
Hawaitaki level kubwa ya maisha wanaitaji kuwa middle class!!
Kulala
Kula
Usafiri
Ila kwasisi ambao tu dream Big sualaa la kuajiliwa tu ni changamoto!!!
Mwaka huu nilienda Kufanya field ofisi Fulani nikaamini kuajiliwa ni utumwa yaani Toka ahsubui mpaka jioni umekaa tu na mshahara mwisho wa MWezi..
Mishe kitaaa haziendiii
Kuajiliwa ni utumwa mshahara maana yake ni pesa ya kujikimu ili uendeleee kwenda kazini
Sizitaki mbichi hizi[emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kwenda chuo cha Polisi bila cheti cha JKT au JKU?
Unaweza kwenda chuo cha Polisi bila cheti cha JKT au JKU?
Naomba kuuuliza mtu anaweza kupata mafunzo ya polisi kama Hana cheti Cha JKT Msaaadawww.jamiiforums.com
Ronja za military science natolea wapi kama tu za ZIMAMOTO sina 😀NAJYUZ Jadda Zafrain sag @ Ndege Tai mwenye lonja ya military science mujibu wa mwaka huu anisanue wakuu nini kinaendelea.