Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Mfano mimi muda wowote ule ukiniambia tukimbie jogging umbali mrefu nitatoboa au nikupigie push ups naruka nazo tu vzuriHizi kazi zikitangwaza unaweza hisi umeshapata,, kuna kipindi nilianza na kukimbia mbio ili nipate pumzi , nikaanza na kukumbushia kwata za pass square lakini waapi.... nilipigwa ndoige hata damu sikupimwa(Maana bora ningepimwa hata damu nijue afya yangu)
All in all mungu ni mwema.
Nawatakia kila lakheri maafsa , kila mtu kashaandikiwa kuwa atashibia wapi.