Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Daaah ... hv interview zaoo zinakuaje

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Uliomba nafasi gani bro! Kama ni guard jiandae na Mbio, Squat, Push up, na kuroll. Tulifanya za Iringa kule walileta uhuni sana vijana wao waliokuwa wanajitolea walituchana live tunapoteza muda tu. Tuliamini baada ya kuona majina ya kwenda oral kuna watu hawakuwepo kabisa kwenye usahii wa vitendo ila tukawa nao kule. Japo kuna kuwa na mtu mmoja wa kutoka Secretaiet ya ajira kuona mchakato lakini bado hakuna kitu atafanya.
 
Kila la kheri vijana mliochaguliwa kuingia Polisi. Uadilifu na kufata sheria za mafunzo ni muhimu. Nimefarijika kuona watu waliopambana humu kwa miaka kadhaa hatimaye wamepata nafasi. All the best.
 
Kila la kheri vijana mliochaguliwa kuingia Polisi. Uadilifu na kufata sheria za mafunzo ni muhimu. Nimefarijika kuona watu waliopambana humu kwa miaka kadhaa hatimaye wamepata nafasi. All the best.
Hakika mkuuu Mungu awatangulie wamalize salamaaa waki report baada huakiki mbilinge kozi rasmi inaweza kuwa baada ya muda gani
 
Wakuu nimeenda dispensary flan ya serikali...nataka kujaziwa medical form kwaajili ya ZT...docta anasema natakiwa fomu iliowekwa kwenye attachment ya tangazo la kazi ila kwenye tangazo sioni

Ila nimepita kwenye web nimekuta pdf ya medical form ya fire machakani tu uko...itafaa nikiattach io
 

Attachments

Kajaziwe hiyo hiyo ya ZT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…