Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwamba wenye madaraja ya chini ya ufaulu ndiyo wanastahili kuwa polisi hapa Tanzania. Kwamba ndiyo hawa hawa wanatakiwa kufanya upelelezi na kuchukua maelezo ya watuhumiwa mbalimbali......aiseeee
Usahili wa juz Kuna mkoa wamechukua form 4 wote division 1 na 2 hakuna 3 wala 4
 
Hizo zote ni hisia.

Asante Sana Jadda! Nimekupata.
 
Njooni kwenye kazi za ulinzi ama security kazi za kiaskari kazi za lawama kazi za kiume...maisha yanakwemda huku ni mwezi wa tatu toka nizame zangu huku SGA Security...nahudumia wazazi/family kiaina mungu atasaidia mbeleni Mambo yatafunguka zaidi
 
Ajira za serikalini hizi za majeshi nadhani pengine sina bahati nako au ridhki yangu haijaandikwa huko,

Vijana tusichague kazi tusisite kufanya kazi kwa sababu zisizo na mantiki maisha ni popote hasa kwa siye wanaume
 
Njooni kwenye kazi za ulinzi ama security kazi za kiaskari kazi za lawama kazi za kiume...maisha yanakwemda huku ni mwezi wa tatu toka nizame zangu huku SGA Security...nahudumia wazazi/family kiaina mungu atasaidia mbeleni Mambo yatafunguka zaidi
mkuu SGA hapo bado wanachukua watu?
 
Vijana wa BBT wamefunga kozi Leo makutu sijui kama watarudi kuchukua wengine Hawa wamemaliza wanachukuliwa serikalini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…