Duuuuh sure??mkuu zile walizotangaza mwaka jana kwa kikosini kwetu niliomaliza nao kaondoka mmoja nae sababu alikuwa batman wa co akampiganishia juu kwa juu ila juz wamemaliza zaid ya 2000 ,yaani jw nafasi 3000 majina ya mchongo 5000 hapo bado walio jkt
Hiz hazina formula ......na wanangu zaidi ya watano wazee walikuwa ma brigedia Bado wamekula za uso mkataba umeisha wako homemkuu zile walizotangaza mwaka jana kwa kikosini kwetu niliomaliza nao kaondoka mmoja nae sababu alikuwa batman wa co akampiganishia juu kwa juu ila juz wamemaliza zaid ya 2000 ,yaani jw nafasi 3000 majina ya mchongo 5000 hapo bado walio jkt
Mbanga inabidi akupigie pasi wakati bado yupo kwenye mfumo akishatoka ni ngumu labda awe jenerali mwenyewe kabisa.Hiz hazina formula ......na wanangu zaidi ya watano wazee walikuwa ma brigedia Bado wamekula za uso mkataba umeisha wako home
Exactly mkuu ....Hilo nimeliona Kwa hao wanguuMbanga inabidi akupigie pasi wakati bado yupo kwenye mfumo akishatoka ni ngumu labda awe jenerali mwenyewe kabisa.
Kaka vp jw hamna info yeyoteExactly mkuu ....Hilo nimeliona Kwa hao wanguu
Dogo moja Yuko ujenz handeni alinipa ronja ameskia huko waandae vyeti anytime kinawez kunuka uko jakata mkuu???Kaka vp jw hamna info yeyote
Nenda hospital yoyote ya serikali wanazo form utalipia around 10k.Medical form ya magereza inajazwa kwa nani msaada?
Na JKT kujitolea ulienda?Hizi ajira ni kizungumkutiiii wakuuu kikubwa muombe sana mungu na kupambana haswaaa......kingine maisha sio lazima yawe kwenye vyombo vya ulinziiiii tu maishaaa ni popote na kupambana na kuishiii kwa nidhamu....mpk sasa kitaa nishatoboa 4 years
Mapema sana mkuu nimebaki na gamba tuuuuNa JKT kujitolea ulienda?
Duuuuh maisha ni makatili sanaMapema sana mkuu nimebaki na gamba tuuuu
Maisha sio makatili mkuu ila watu ndio wanafanya tuone maisha ni makatiliiiii........Duuuuh maisha ni makatili sana
Wapge pichaLeo wanajeshi wanapita chuoni kwetu hapa MUST kuandikisha finalist wanaosoma kozi za engineering
Subir watoe majinaUsahili wa uhamiaji lini
Watu kitaa kunawapelekea moto[emoji91][emoji91][emoji23]Subir watoe majina
Watu kitaa kunawapelekea moto[emoji91][emoji91][emoji23]
Kitaa sio poa watu wanapelekewa moto sio poa mtu huguswi na mtu ila Cha moto unakiona ππππ siku haziendi na bado ukutane na ndoige utaona Dunia chungu