Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Duuuuh sure??mkuu zile walizotangaza mwaka jana kwa kikosini kwetu niliomaliza nao kaondoka mmoja nae sababu alikuwa batman wa co akampiganishia juu kwa juu ila juz wamemaliza zaid ya 2000 ,yaani jw nafasi 3000 majina ya mchongo 5000 hapo bado walio jkt