Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mkuu zile walizotangaza mwaka jana kwa kikosini kwetu niliomaliza nao kaondoka mmoja nae sababu alikuwa batman wa co akampiganishia juu kwa juu ila juz wamemaliza zaid ya 2000 ,yaani jw nafasi 3000 majina ya mchongo 5000 hapo bado walio jkt
Duuuuh sure??
 
Hiz hazina formula ......na wanangu zaidi ya watano wazee walikuwa ma brigedia Bado wamekula za uso mkataba umeisha wako home
 
Nipo zangu road kwenye mihangaiko nawaona private vijana na mabegi yao na sare zao......nahisi wapo kwenye zoeziiii la ramani maana naona wanaozunguka zunguka tu kutafuta kitu ama vitu.......
 
Hizi ajira ni kizungumkutiiii wakuuu kikubwa muombe sana mungu na kupambana haswaaa......kingine maisha sio lazima yawe kwenye vyombo vya ulinziiiii tu maishaaa ni popote na kupambana na kuishiii kwa nidhamu....mpk sasa kitaa nishatoboa 4 years
 
Na JKT kujitolea ulienda?
 
Watu kitaa kunawapelekea moto[emoji91][emoji91][emoji23]

Kitaa sio poa watu wanapelekewa moto sio poa mtu huguswi na mtu ila Cha moto unakiona 😂😂😂😂 siku haziendi na bado ukutane na ndoige utaona Dunia chungu
 
Back
Top Bottom