Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nakumbuka hii ilikuwa kati ya 2017 au 18.
 
Sema vijana mnaopenda majeshi nafasi kama za Suma Guard zikitoka msiache kuomba maana niliwahi kusikia siku za mbeleni nao wataingizwa kwenye vyombo vya ulinzi vya JMT kwahiyo kuwa sawa na vyombo hivi vingine.
 
Umenikumbusha 2015 tulipiga interview baada ya muda nkapigiwa simu kwenda kujiunga dah nkawapotezea nkatamani Maisha ya UDSM kipindi hicho tukiwaza boom2 sahv najuta sana kuitosa ile nafasi tena interview yenyew haikuwa ngumu kikubwa uwe PCB,PCM,PGM na uwe na one or two unapimwa afya unaambiwa tutakujulisha
 
Hahaha sema ndo HVO ule mzuka wa chuo unakufanya uone km n kawaida tu ko inakua ngumu sana kuacha chuo
 
Hayaa hayaaaa makuruta wajao..kesho j3 wengi mkiwa na mategemeo uzi wa PT. na wale wa JW mkihisi siku za tangazo zinakaribia...
Niko kuwatia moyo yote yatakua sawa.
Tukutane chomboni.
 
Mkuu ulizngua sana ila sikulaumu kutokana na labda hukuwa na mentor wa kukishauri.
 
Kosa la kiufundi ulifanya mzeebaba.......

Kuna mwana nipo nae kahitimu mwaka nae alipiga simu akakacha sahv anajilaumu tu

Me namwmbia majuto mjukuu.
 
Kosa la kiufundi ulifanya mzeebaba.......

Kuna mwana nipo nae kahitimu mwaka nae alipiga simu akakacha sahv anajilaumu tu

Me namwmbia majuto mjukuu.
Kwenye Maisha hakuna kujuta Kila kitu kinachotokea.Kila Jambo Lina sababu zake.Kama alienda Chuo na kumaliza basi Mungu alipanga asome.Mengine yajayo Mungu ndiye Mpangaji.
 
Wale mtakaoenda PT mkajiendeleze kielimu.Huko PT huwa kuna ufadhili wa masomo kwa askari wa PT hupelekwa URUSI kwenda kusomea mambo ya 'cyber security', 'forencic bureau' n.k
 
Kwenye Maisha hakuna kujuta Kila kitu kinachotokea.Kila Jambo Lina sababu zake.Kama alienda Chuo na kumaliza basi Mungu alipanga asome.Mengine yajayo Mungu ndiye Mpangaji.
Chuo nlimaliza mkuu but ile chance naijutia kiukweli utoto ulinisumbua kuona Boom la chuo n bora kuliko kwenda kozi ya jeshi ningekuwa na star zangu begani but sahv ndo nahangaika kusaka tena nafasi
 
Sifa ya uzi huu ni kukuza ID..

Zinakuja "New Member" mpaka zinakuwa "JF Expert Member".

Hahahahah, wazee wa lonja.

Tukutane mkikaribia pass out.. Awiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…