MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Hahshaha mzee hizi kauli za kutiana moyo amini kwamba.Haukua wakati wako Sahihi.Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahshaha mzee hizi kauli za kutiana moyo amini kwamba.Haukua wakati wako Sahihi.Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Mungu ni mwema wakati wote.Wewe una Imani ipi?Hahshaha mzee hizi kauli za kutiana moyo amini kwamba.
@mazaga one nakupa cheo cha MP kwenye huu uzi utasimamia nidhamuMungu ni mwema wakati wote.Wewe una Imani ipi?
Huu Uzi ni WA Mkubwa wetu@mazaga one nakupa cheo cha MP kwenye huu uzi utasimamia nidhamu
Yes, nilikuwepoNa ww ulikuwepo kwenye usahili kumbe
Nakumbuka hii ilikuwa kati ya 2017 au 18.Mkuu we acha tu....ile niko six kuna mwana tulikuwa tunatanian kwa kuitana makoplo na tulikuwa tukitoka msuli dom lazima tuwapigie kelele za kuunga jeshi mapema tu.......sasa mwaka wetu ule ndo mambo ya military sayanc yalianza na walipita kambi za dodoma(makutopola), mara(RWANKOMA) na tabora(MSANGE) tu
sasa kambi yangu wala ya jamaa yangu hawakaupita so ikatupita kama ivo .......wadau walivyopigiwa simu kidume nikajipeleka ubungo pale lkn wap kumbe kuna majina daaah hafu ule mwaka wadau kibao walikacha maana walichagua watu wenye one na two wa kombi za sayanci so idadi ikawa ndgo nakumbuka walitakiwa watu 460+ hafu wakaenda 250 hv.....nikaenda hadi ngome kuomba lkin sikufanikiwa hapo stil niko chuo.....
Sema ningeenda pale nichukue jina la mtu ambaye namjua hakwenda ningekomaa nao tu.
HahahaSema vijana mnaopenda majeshi nafasi kama za Suma Guard zikitoka msiache kuomba maana niliwahi kusikia siku za mbeleni nao wataingizwa kwenye vyombo vya ulinzi vya JMT kwahiyo kuwa sawa na vyombo hivi vingine.
[emoji38]usicheke mkuu,mbona hawa ni makamanda kabisa kama sisi,na kikinuka wapo mstari wa mbele.Hahaha
Umenikumbusha 2015 tulipiga interview baada ya muda nkapigiwa simu kwenda kujiunga dah nkawapotezea nkatamani Maisha ya UDSM kipindi hicho tukiwaza boom2 sahv najuta sana kuitosa ile nafasi tena interview yenyew haikuwa ngumu kikubwa uwe PCB,PCM,PGM na uwe na one or two unapimwa afya unaambiwa tutakujulishaMkuu we acha tu....ile niko six kuna mwana tulikuwa tunatanian kwa kuitana makoplo na tulikuwa tukitoka msuli dom lazima tuwapigie kelele za kuunga jeshi mapema tu.......sasa mwaka wetu ule ndo mambo ya military sayanc yalianza na walipita kambi za dodoma(makutopola), mara(RWANKOMA) na tabora(MSANGE) tu
sasa kambi yangu wala ya jamaa yangu hawakaupita so ikatupita kama ivo .......wadau walivyopigiwa simu kidume nikajipeleka ubungo pale lkn wap kumbe kuna majina daaah hafu ule mwaka wadau kibao walikacha maana walichagua watu wenye one na two wa kombi za sayanci so idadi ikawa ndgo nakumbuka walitakiwa watu 460+ hafu wakaenda 250 hv.....nikaenda hadi ngome kuomba lkin sikufanikiwa hapo stil niko chuo.....
Sema ningeenda pale nichukue jina la mtu ambaye namjua hakwenda ningekomaa nao tu.
Hahaha sema ndo HVO ule mzuka wa chuo unakufanya uone km n kawaida tu ko inakua ngumu sana kuacha chuoPolisi wana uhitaj mkubwa hasa nafasi za chini ...kwa sababu pia wengi wamepandishwa vyeo kwenda
Sisi wengine tulipigiwa simu kabisa tupo zetu chuo ilikuw 2014 ndio tumeanza chuo afu lile boom la kwanza la milioni limeingia [emoji23][emoji23] tukaona maisha ndio haya....kamanda aliyenipigia simu alisikitika sana asee....ila wadau walioenda maclassmates zangu wa advance saiv wana mawe 2 na wengine ma3 mabegani...na ilikuw njia rahisi sana maana ilikuw wanaenda moja kwa moja kupiga uofisa
Sawa mkuu acha tuishi kwa imani.Mungu ni mwema wakati wote.Wewe una Imani ipi?
2017 mkuuNakumbuka hii ilikuwa kati ya 2017 au 18.
Mkuu ulizngua sana ila sikulaumu kutokana na labda hukuwa na mentor wa kukishauri.Umenikumbusha 2015 tulipiga interview baada ya muda nkapigiwa simu kwenda kujiunga dah nkawapotezea nkatamani Maisha ya UDSM kipindi hicho tukiwaza boom2 sahv najuta sana kuitosa ile nafasi tena interview yenyew haikuwa ngumu kikubwa uwe PCB,PCM,PGM na uwe na one or two unapimwa afya unaambiwa tutakujulisha
Kosa la kiufundi ulifanya mzeebaba.......Polisi wana uhitaj mkubwa hasa nafasi za chini ...kwa sababu pia wengi wamepandishwa vyeo kwenda
Sisi wengine tulipigiwa simu kabisa tupo zetu chuo ilikuw 2014 ndio tumeanza chuo afu lile boom la kwanza la milioni limeingia [emoji23][emoji23] tukaona maisha ndio haya....kamanda aliyenipigia simu alisikitika sana asee....ila wadau walioenda maclassmates zangu wa advance saiv wana mawe 2 na wengine ma3 mabegani...na ilikuw njia rahisi sana maana ilikuw wanaenda moja kwa moja kupiga uofisa
Kwenye Maisha hakuna kujuta Kila kitu kinachotokea.Kila Jambo Lina sababu zake.Kama alienda Chuo na kumaliza basi Mungu alipanga asome.Mengine yajayo Mungu ndiye Mpangaji.Kosa la kiufundi ulifanya mzeebaba.......
Kuna mwana nipo nae kahitimu mwaka nae alipiga simu akakacha sahv anajilaumu tu
Me namwmbia majuto mjukuu.
Chuo nlimaliza mkuu but ile chance naijutia kiukweli utoto ulinisumbua kuona Boom la chuo n bora kuliko kwenda kozi ya jeshi ningekuwa na star zangu begani but sahv ndo nahangaika kusaka tena nafasiKwenye Maisha hakuna kujuta Kila kitu kinachotokea.Kila Jambo Lina sababu zake.Kama alienda Chuo na kumaliza basi Mungu alipanga asome.Mengine yajayo Mungu ndiye Mpangaji.