southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Twende kaziii...Kuna nini tar hiyo...Tar 28
Kama huna lonja Shona tulia
Au niongee na DC anipachikeKule mpka wakutake ww sio ww upateke.
Hapo ww tu ila ukiingia unikumbuke.Au niongee na DC anipachike
Wiki zinakatika tuu wanangu...
Source zote ukiziuliza zinasema vuteni subira..daah
Afande acha mteru kuwa mvimilivu.....Kama PT wamekula muda mrefu hivi...je, MT,ZT,UT duh [emoji849] hatar tupu.....bado hapo choo cha kulipia anasema mwezi ujao Tpdf nao wamo mh
Vip div 3 hawachukui?Umenikumbusha 2015 tulipiga interview baada ya muda nkapigiwa simu kwenda kujiunga dah nkawapotezea nkatamani Maisha ya UDSM kipindi hicho tukiwaza boom2 sahv najuta sana kuitosa ile nafasi tena interview yenyew haikuwa ngumu kikubwa uwe PCB,PCM,PGM na uwe na one or two unapimwa afya unaambiwa tutakujulisha
Kwani nao wametoa nafasi za chombo chao?Mimi naombeni connection kwa DSO Ilala jamani
Najua hakishindikani kitu humu
Mtumaini Mungu Choo Cha Kulipia nyboma
Kuna waliopita JKT,kuna bakabaka pia na PT na Kaunda wapo pia.Nje ya mada kuu jamani.... Naombeni kuuliza hv wale walinzi wanaolinda bandarini ni kutoka jeshi gani??
Enzi za Baba wa Taifa labda,siyo enzi hizi.Kule mpka wakutake ww sio ww upateke.
Hawa watakuwa wanasubiriana isijekutokea mtu mmoja akapata UT huyohuyo kapata ZT mara kapata MT na tena kapata PT hivyo kuna uwezekano wanasubiriana watoe kwa pamoja PDF..(nimewaza tu)Kama PT wamekula muda mrefu hivi...je, MT,ZT,UT duh [emoji849] hatar tupu.....bado hapo choo cha kulipia anasema mwezi ujao Tpdf nao wamo mh
Hawa watakuwa wanasubiriana isijekutokea mtu mmoja akapata UT huyohuyo kapata ZT mara kapata MT na tena kapata PT hivyo kuna uwezekano wanasubiriana watoe kwa pamoja PDF..(nimewaza tu)
Lakini pia mambo ya kibajeti nayo yanaweza kuwa na utaratibu wake,pia kuna suala la walioko vyomboni kufanya kozi zao hivyo facility ziko finyu ndiyo maana lonja iliyopo ni mwezi Januari ndiyo watu wataingia CCP..
Yote kwa yote jeshi lolote lile halikaririki..Hki
Upo sahihi kabisa.Na PDF inaweza kutoka muda Wowote tu.Kikubwa uvumilivu na kuombea kusomekaHawa watakuwa wanasubiriana isijekutokea mtu mmoja akapata UT huyohuyo kapata ZT mara kapata MT na tena kapata PT hivyo kuna uwezekano wanasubiriana watoe kwa pamoja PDF..(nimewaza tu)
Lakini pia mambo ya kibajeti nayo yanaweza kuwa na utaratibu wake,pia kuna suala la walioko vyomboni kufanya kozi zao hivyo facility ziko finyu ndiyo maana lonja iliyopo ni mwezi Januari ndiyo watu wataingia CCP..
Yote kwa yote jeshi lolote lile halikaririki..
Kama hawajapita jkt ndo hawachaguliwi ?Yani kuna jamaa kaniambia hapa wakuu wa vyombo vya usalama vijana wao wengi hawajapitia JKT, sasa wanafarakana sana kuhusu kuwachomeka vijana wao maana hawana sifa husika, Kuna kamanda mmoja alikua anaomba kama mtoto nafasi, ila anaambiwa mzee swala haliwezekani maana kijana wako hana sifa, akaulizwa je kijana wako anajua silaa begani wekaa, nilicheka sana
Hiyo Lonja sio sawaa...Yani kuna jamaa kaniambia hapa wakuu wa vyombo vya usalama vijana wao wengi hawajapitia JKT, sasa wanafarakana sana kuhusu kuwachomeka vijana wao maana hawana sifa husika, Kuna kamanda mmoja alikua anaomba kama mtoto nafasi, ila anaambiwa mzee swala haliwezekani maana kijana wako hana sifa, akaulizwa je kijana wako anajua silaa begani wekaa, nilicheka sana
Tpdf huwa hawatangazi uraiani wanachukua vibog vyao makambini labda kama una mbangaKama PT wamekula muda mrefu hivi...je, MT,ZT,UT duh [emoji849] hatar tupu.....bado hapo choo cha kulipia anasema mwezi ujao Tpdf nao wamo mh