Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wiki zinakatika tuu wanangu...
Source zote ukiziuliza zinasema vuteni subira..daah
 
Umenikumbusha 2015 tulipiga interview baada ya muda nkapigiwa simu kwenda kujiunga dah nkawapotezea nkatamani Maisha ya UDSM kipindi hicho tukiwaza boom2 sahv najuta sana kuitosa ile nafasi tena interview yenyew haikuwa ngumu kikubwa uwe PCB,PCM,PGM na uwe na one or two unapimwa afya unaambiwa tutakujulisha
Vip div 3 hawachukui?
 
Kama PT wamekula muda mrefu hivi...je, MT,ZT,UT duh [emoji849] hatar tupu.....bado hapo choo cha kulipia anasema mwezi ujao Tpdf nao wamo mh
Hawa watakuwa wanasubiriana isijekutokea mtu mmoja akapata UT huyohuyo kapata ZT mara kapata MT na tena kapata PT hivyo kuna uwezekano wanasubiriana watoe kwa pamoja PDF..(nimewaza tu)

Lakini pia mambo ya kibajeti nayo yanaweza kuwa na utaratibu wake,pia kuna suala la walioko vyomboni kufanya kozi zao hivyo facility ziko finyu ndiyo maana lonja iliyopo ni mwezi Januari ndiyo watu wataingia CCP..

Yote kwa yote jeshi lolote lile halikaririki..
 
Yote kwa yote jeshi lolote lile halikaririki..Hki

Hawa watakuwa wanasubiriana isijekutokea mtu mmoja akapata UT huyohuyo kapata ZT mara kapata MT na tena kapata PT hivyo kuna uwezekano wanasubiriana watoe kwa pamoja PDF..(nimewaza tu)

Lakini pia mambo ya kibajeti nayo yanaweza kuwa na utaratibu wake,pia kuna suala la walioko vyomboni kufanya kozi zao hivyo facility ziko finyu ndiyo maana lonja iliyopo ni mwezi Januari ndiyo watu wataingia CCP..

Yote kwa yote jeshi lolote lile halikaririki..
Upo sahihi kabisa.Na PDF inaweza kutoka muda Wowote tu.Kikubwa uvumilivu na kuombea kusomeka
 
Yani kuna jamaa kaniambia hapa wakuu wa vyombo vya usalama vijana wao wengi hawajapitia JKT, sasa wanafarakana sana kuhusu kuwachomeka vijana wao maana hawana sifa husika, Kuna kamanda mmoja alikua anaomba kama mtoto nafasi, ila anaambiwa mzee swala haliwezekani maana kijana wako hana sifa, akaulizwa je kijana wako anajua silaa begani wekaa, nilicheka sana
 
Kama hawajapita jkt ndo hawachaguliwi ?
 
Yani kuna jamaa kaniambia hapa wakuu wa vyombo vya usalama vijana wao wengi hawajapitia JKT, sasa wanafarakana sana kuhusu kuwachomeka vijana wao maana hawana sifa husika, Kuna kamanda mmoja alikua anaomba kama mtoto nafasi, ila anaambiwa mzee swala haliwezekani maana kijana wako hana sifa, akaulizwa je kijana wako anajua silaa begani wekaa, nilicheka sana
Hiyo Lonja sio sawaa...
 
Kama PT wamekula muda mrefu hivi...je, MT,ZT,UT duh [emoji849] hatar tupu.....bado hapo choo cha kulipia anasema mwezi ujao Tpdf nao wamo mh
Tpdf huwa hawatangazi uraiani wanachukua vibog vyao makambini labda kama una mbanga
 
Back
Top Bottom