Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Haya ujamiaji hao nao[emoji3516][emoji3516]
 
Hii hapa ,,,kwenye kujaza form ,,,,,kwa aliejaza naomba msaada ,,,kwenye tovuti siioni au ametumia tovuti gan? Shukran
Screenshot_20210926-153442.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha..

Hilo chama la wana, wengine wanaita Kombakomba wengine Zoazoa wengine kanyaga twende wengine wanakuita changanyikeni..

Kuanzia darasa la saba hadi piihechidii wanaandikishwa.

Ombeni Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23]ila Sio la sasa
 
Mama Samia amemwaga ajira sana. Tukiacha ushabiki mama anajaribu kupunguza ukali wa maisha.
 
Mama Samia amemwaga ajira sana. Tukiacha ushabiki mama anajaribu kupunguza ukali wa maisha.
Kweli mama apewe pongezi kubwa Sana na Mungu ambariki.Mama Namuomba na kama kuna Wasaidizi humu ndani wamwambie na wamuombe mama Vijana wa Shahada,Astashahada na Stashahada wanaoendelea na Usaili Kilio chao na matumaini yao ni Mama Samia Wana Imani kubwa Mama atawachukua wote angalau mtaani Vijana wasomi waliosota Watapungua Kwa kweli na hawazidi hata elfu mbili hao wasomi.Mama Samia Tunakuombea,Wizara ya Mambo ya Ndani Tunawaombea.Mungu ibariki Tanzania,Mungu Libariki Jeshi la Polisi.Mungu Mbariki Rais Wetu Samia.
Tuna Matarajio Makubwa Kwako Mama.Mama Unaupiga Mwingi
Kazi Iendelee!
 
Jamani wakubwa naomba msaada kidogo nauliza hivii katika vyombo vya usalama mara nyingi huwa wenye ufaulu wa chini hupewa kipaumbele vipi je katika shahada na astashada huwa napo wanaangalia ufaulu mdogo yaani GPA au kwao ni tofauti??
 
Na sio Mara nyingi hii imetokea tu mwaka huu kwakuwa wanahitaji labour ila kwa degree huwa nikuanzia GPA ya 2.0 nakuendelea
 
Hv inawezekana kila mwaka kuajiri watu wa usalama au kuna interval ndefu????
 
Back
Top Bottom