Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnachoKumbuka kuna kigezo cha JKT/JKU
Hivi anayeomba kwa kutumia elimu ya kidato cha sita kwenye usahili anatakiwa aende na vyeti vyote pamoja na vya kidato cha nne??
Ahaaa swa bosssYes....LAZIMA
Hivi na uhamiaji limeshakuwa Jeshi Kama Jeshi la Polisi au la wananchi au la magereza?Hivi kwanini uhamiaji hawajatoa kigezo ya urefu..?? Anejua sababu atueleweshe..
wakuu, nimepanga kuaplai hii ya magereza shahada flani, sasa hili swala la leaving certificate inakuaje na mwaka wetu foem 6 hazkutoka, na vp hili la dakatar kupima afya, form tunatoa wap?
polisi umekosa auChama la wana linakuja [emoji39][emoji39]
Mujibu wa sheria mnatakiwa sana Tena zaidi ya Sana...Hivi kigezo cha JKT ata mujibu wa sheria wanaruhusiwa kuomba? Msaada
Asante mkuu naona ualimu wa fizikia hapo nkasema na mujbu cheti kipo kumbe nijarbuMujibu wa sheria mnatakiwa sana Tena zaidi ya Sana...
Omba kaka mdogo.
Kaka umelamba "Bull"... Omba fasta usikawieeeeeAsante mkuu naona ualimu wa fizikia hapo nkasema na mujbu cheti kipo kumbe nijarbu
Za polisi nlihisi hatuhusiki acha niombe magereza,zimamoto ikibidi na uhamiajiKaka umelamba "Bull"... Omba fasta usikawieeeee
Ugali mdogo wa halal ni Bora mara mia ya ugali mkubwa wa haramu.Za polisi nlihisi hatuhusiki acha niombe magereza,zimamoto ikibidi na uhamiaji
Kabisa mkuu acha tumuombe mwenyezi mungu atusaidieUgali mdogo wa halal ni Bora mara mia ya ugali mkubwa wa haramu.
Omba tu, unapata.
Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Rehema, Yeye ndiye Alpha na Omega, Hajawai kumuacha amuendeaye kwa nia ya dhati..Kabisa mkuu acha tumuombe mwenyezi mungu atusaidie
AminaMwenyezi Mungu ni Mwingi wa Rehema, Yeye ndiye Alpha na Omega, Hajawai kumuacha amuendeaye kwa nia ya dhati..
Kwa Mungu ninayo hakika utapata hitaji la moyo wako..
Mnaoendelea na usaili wa PT komaeni,mnaotuma maombi MT,UT na ZT kuweni makini na Mungu awatangulie,mnaosubiri Jeshi Senior(TPDF) jipangeni pia hili ni komba komba watu zaidi ya 4000 na mbanga ni Mungu,Cheti cha JKT hasa hasa wale waliojitolea,mnao subiri wazee wa kaunda pale Mbuyuni endeleeni kuomba sana.Tuombeane mkuu