kitaruo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 200
- 163
Tunaanza usahili upya au?Makamanda nasikia kuna ajira zingine 700 za polisi kaeni mkao wa kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaanza usahili upya au?Makamanda nasikia kuna ajira zingine 700 za polisi kaeni mkao wa kula
Cna uhakika sana ila ikitokea zimetoka naamini kuna majina huwa yanawekwa kama reserve kule makao kwa ambao walituma maombi na wakafanya usahili na hawakubahatika kuonekan kweny mkeka wa mwsho, watapigiwa simu au majina yatatoka ila pia zile za mikoani kuna ambao majina yao yalienda hadi makao ila hayakuonekana kweny mkeka inasemekana huwa wanawekwa kama akiba ya muda mfupi ili kuja kufidishia pale upungufu utakapotokea kwa walioriport chuoni ila kimikoa pia wanawez kufanyisha usahili mdogo wa haraka kwa waombaji ambao walipelelz vigezo vichache miongon mwa vilivokua vimeahinishw kweny tangazo la awaliTunaanza usahili upya au?
Hatuna connection wengi humu tumekosa hasa siye wachangiaji wakubwaKwanini asee
Hizi zituhusu sisi wa divisheni one, two, three na four ya 26 na 27 walizo zikataa awaliMakamanda nasikia kuna ajira zingine 700 za polisi kaeni mkao wa kula
Duuh mbona kama wanafanya kama vile maksudi wa fix watu wao ni kosa gani mkuuHuko CCP wale majamaa hawana masihara watu baadhi washafukuzwa kwa kosa dogo tu yani kule discipline tu jamaa wako serious kuna wadau wamefukuzwa huko
Tupo wengi aisee watufikirie bhnaIvi MT na ZT wanaendelea na kichakata majina au ndio washatupuuuza ..
Hata wakitoa washafanya yaoIvi MT na ZT wanaendelea na kichakata majina au ndio washatupuuuza ..
Ngoja tusikiliziewazee wa lonja za tpdf mko wapi jamani..?
tujuzeni mambo huko...
Kweli Kabisa hamna jipyaHuu Uzi saiv umekua wa kutiana moyo ... Duuu jua ni Kali bhana ...
Nasikia ni 20Huko CCP wale majamaa hawana masihara watu baadhi washafukuzwa kwa kosa dogo tu yani kule discipline tu jamaa wako serious kuna wadau wamefukuzwa huko