Miniloy
Member
- Apr 13, 2019
- 44
- 61
Samahani mkuu na kile kiambatanisho B unakiattach kwenye one pdf ya vyeti? Au unakituma chenyewe?barua ,vyeti na vithibitisho vyote una scan na vizuri ukiscan in one pdf mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu na kile kiambatanisho B unakiattach kwenye one pdf ya vyeti? Au unakituma chenyewe?barua ,vyeti na vithibitisho vyote una scan na vizuri ukiscan in one pdf mkuu
Ile fomu haipo kweny PDF utajaza utaiacha kweny hali yale ya xls , wakati unatuma utatuma file mbili hiyo fomu na file za pdf ambalo litakuwa na vyeti na baruaSamahani mkuu na kile kiambatanisho B unakiattach kwenye one pdf ya vyeti? Au unakituma chenyewe?
Mbna ipo we kaangalie vizuriWakuu mbona iyo form A na B sizioni kwenye website ya polisi?
Nimecheki naona ufafanuzi tu kwa waombaji wa zanzibar. Au nakosea website embu iandike hapa chiefMbna ipo we kaangalie vizuri
iNimecheki naona ufafanuzi tu kwa waombaji wa zanzibar. Au nakosea website embu iandike hapa chief
Mimi kozi yangu haipo kwenye kiambatanisho A ila inaendana na Tourism ambayo ipo naijaza tu kibishi wakinitema freshawa jamaa safari hii watuchukue
yaah kikubwa uwe na cheti cha jkt mkuu. uwezi meet qualifications zoteMimi kozi yangu haipo kwenye kiambatanisho A ila inaendana na Tourism ambayo ipo naijaza tu kibishi wakinitema fresh
Cheti cha Jkt kipo chiefyaah kikubwa cheti c
yaah kikubwa uwe na cheti cha jkt mkuu. uwezi meet qualifications zote
jah atablessCheti cha Jkt kipo chief
Mzee sikutishi ila ukizama chombo chochote kile kwa ajili ya mshahara tu aise utateseka sana maana majukumu na kazi sio poa ...hizi kazi huwa ni kwa ajili ya wanaozipenda na kuipenda nchi yaoMimi nachoomba nipate tu mchongo huko uhamiaji... So km sijui ni jeshi, sijui taasisi, sijui polisi mimi binadsi sijali hayo mambo!!! Cha muhimu niishi tu mwisho wa mwez[emoji23]
Nakushangaa unawezaje bishana na mtu namna hvyo...mm ningeshatulia muda sanaWe mgeni kwmye huu uzi ndio mana waniuliza maswali hayo,nishakwambia me nina miaka miwili sasa nafatilia ajira za majeshi, unadhani nafatilia ajira bila kuwa nimepita Jkt
Umemuelewesha vizuri.Mzee sikutishi ila ukizama chombo chochote kile kwa ajili ya mshahara tu aise utateseka sana maana majukumu na kazi sio poa ...hizi kazi huwa ni kwa ajili ya wanaozipenda na kuipenda nchi yao
[emoji106]Ukimaliza kozi CCP unapewa kaki na hiyo kijani pamoja na mkanda ule wa bendera ya Tanzania.
Kifupi yote ni mavazi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Kaki ni kama official wear...
Kijani ni shamba dress yani limekaa kikazi zaidi ndio maana unavalia buti ..
Kaki unavalia moka safi nyeusi
Zitatoka tu apply kwanza polisi na uhamiaji lolote laweza tokea maana yawezekana February wakatoa.jaman kwa mwenye uelewa kwahyo jwtz wakishachukuliwa military science ndio basi tena hawachukui tena au inakuaje kuna nafasi nyingine zitatangazwa