Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Samahani mkuu na kile kiambatanisho B unakiattach kwenye one pdf ya vyeti? Au unakituma chenyewe?
Ile fomu haipo kweny PDF utajaza utaiacha kweny hali yale ya xls , wakati unatuma utatuma file mbili hiyo fomu na file za pdf ambalo litakuwa na vyeti na barua
 
Hivi sorry naomba kuuliza kuhusu ajira hizi za jwtz hivi wakishachukuliwa military science wale form six ndio inakuwa ndio bc tena hawachukui tena au kuna nafasi nyingine zitatolewa
 
ingia kwenye website ya polisi kupitia google or chrome then ipakue uijaze. na nivizuri uki rename ili kua avoid mkanganyiko wa documents mfano " Bongo ajira ngumu- kiambatanisho B"
Nimecheki naona ufafanuzi tu kwa waombaji wa zanzibar. Au nakosea website embu iandike hapa chief
i
 
Mimi nachoomba nipate tu mchongo huko uhamiaji... So km sijui ni jeshi, sijui taasisi, sijui polisi mimi binadsi sijali hayo mambo!!! Cha muhimu niishi tu mwisho wa mwez[emoji23]
Mzee sikutishi ila ukizama chombo chochote kile kwa ajili ya mshahara tu aise utateseka sana maana majukumu na kazi sio poa ...hizi kazi huwa ni kwa ajili ya wanaozipenda na kuipenda nchi yao
 
jaman kwa mwenye uelewa kwahyo jwtz wakishachukuliwa military science ndio basi tena hawachukui tena au inakuaje kuna nafasi nyingine zitatangazwa
 
Back
Top Bottom