Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yaani hapo ndio balaa, kuipata. Nikikutana na polis mmoja hivi akaniuliza umeomba nafasi maana alijua mm ni muhitimu wa chuo kwa namna tulivyokutana pale. Nikamwambia yeah nimeziona akanishauri Kaombe maana saivi ajira ni ngumu ila ungekuwa na mtu ingekuwa rahisi zaidi lkn usiache kujaribu kwasababu huwezi jua. Yeye sasa[emoji3] Akaniambia mm nilitafuta kazi weeeh sikupataga sasa zikatangazwa za jeshi nilikuwa na mtu nikapigiwa simu nikaenda tena huku nalindwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nikasema duuh!!! Nikaingia kozi mpk sasa nipo kazini na ni kijana tu. Nikaona watu tunauwezo wa kurahisishiana sana tofauti na hapo ni DUA TU NS KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU zikitimia na ikiwa imeandikwa basi lazima tutapata tu, Tusikate tamaa tuendeleeni kujaribu kwa nafasi zetu...
yaah kaka .kamlete majeshini nyingi mnoo
 
Wakuuu!
Hivii kwa mkoa wa Tanga hizo ofisi za kamanda mkuu wa polisi mkoa zipo wapii?

Mm nipo zangu mashamban huko Lushoto nimefika hata sina muda mrefu na wenyeji wanguu hawaeliii..

Anaejua anichuze iliii nipelekee hzoo barua zngu
Tanga Mjini zipo,
 
hawa uhamiaji huwa awa cheleweshi kbsa.nakumbuka post za mwaka jana kuna mwanetu alijua tangazo la kuitwa kazini linatoka lini la uhamiaji. kifupi wakuu dua na connection ndio

hawa uhamiaji huwa awa cheleweshi kbsa.nakumbuka post za mwaka jana kuna mwanetu alijua tangazo la kuitwa kazini linatoka lini la uhamiaji. kifupi wakuu dua na connection ndio zitafanya tuwepo kwenye pdf
Uhamiaji interview makao makuu DODOMA bila shaka , ujue makao kupata mtu wa kukupiganishia kwa sisi walala hao ni kazi sana. Yaan kuna muda mtu unawaza mpaka unakufuru. Umaskini Mbaya sana, tusiliruhusu hili kwa watoto wetu.
 
Vipi , gharama ya kutuma maombi kwa posta njia ya kawaida bila EMS ni shingapi kwa package au bahasha moja ?
 
Na polisi je kozi itaweza anza lini chief? Maana daah
Hawatapishana sana....process nzima hadi majina kutoka huwa inachukua kama miezi miwili hivi. Mwaka jana Polisi tangazo walitoa Sept kama sikosei watu wakaingia kambini mwishoni mwa october
 
GOD Awe na sisi
Hawatapishana sana....process nzima hadi majina kutoka huwa inachukua kama miezi miwili hivi. Mwaka jana Polisi tangazo walitoa Sept kama sikosei watu wakaingia kambini mwishoni mwa october
mkuu uhamiaji huwa soon after deadline. polisi tutasubiria zaid ya miezi miwili hpoo
 
Daaah hivi kwa sisi ambao tupo vijijini kwenye vibarua nawaza nikipata barua ya mwenyekiti wa mtaa naotokea dar na kama nikimaliza kuandika niisafirishe dar ndo wanipelekee itakuwaje?
 
Wakuu naombeni mwenye uelewa kuhusu kipengele cha kuthibitisha afya ya mwili na akili anieleweshe. Fomu inayotumika ni ipi na inapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom