Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wadau tuendelee kutunza afya vizuri.

Mtoto wa kiume usikubali kuuza mechi kizembe,Huu si wakati wa kupapatikia mademu wa ajabu.

Intake iliyopita wadau wengi walikua UNFIT kutokana na matatizo kadhaa,Kuna mwamba alikosa nafasi kutokana alikua anatumia bangi na pia kuna baadhi ya mademu walikua wameungua tayari.

(Hawa mademu walikua wanaliwa na maafande kule makambini halafu maafande walikua wameshaungua tayariii).

Pia ukifanikiwa kuingia CCP inatakiwa nidhamu ya hali ya juu,wadau wengi wamefukuzwa kwa kesi mbalimbali kama vile simu na Mapenzi.

Kuna jamaa ile siku ya mwisho ya kumaliza mafunzo,alijichanganya akageuza kofia(zile za polisi) Nyuma mbele,Sasa ubaya wakati amevaa ile kofia vile Maafisa mbalimbali wa jeshi la polisi wakamuona,Kama ujuavyo tena siku ya mahafali maafisa wanakuaga wengi siku ya kumaliza mafunzo.

Basi jamaa[emoji28] akaitwa akaambiwa akavue uniform faster Maana hajaiva kwenye kozi..

CCP ni pale unapoona unapelekwa kwa RPC wako ndio ujue kazi umepata,ila ukiwa pale kambini hata kama ni siku ya mwisho unatakiwa ujichunge.

Nimewaibia lonja[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea wengine walrudi kwa issue ya ugonjwa wa "homa ya ini" yaani hepatitis B. Ukiwa nayo hutoboi kule
 
Ila sema nawaambia tu ilitokea labda majina fainali yakaja kote kote labda itokee umepata bahati hiyo

Polisi na fire
Au uhamiaji na polisi

Nakusihi usiende ccp ..

Bora miezi sita .. kuliko 9 ya kubeti [emoji3]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa 😂😂😂 Zimamoto huwa sio ndefu sana. Uhamiaji Nadhani ni miezi 6 hivi
 
Wadau tuendelee kutunza afya vizuri.

Mtoto wa kiume usikubali kuuza mechi kizembe,Huu si wakati wa kupapatikia mademu wa ajabu.

Intake iliyopita wadau wengi walikua UNFIT kutokana na matatizo kadhaa,Kuna mwamba alikosa nafasi kutokana alikua anatumia bangi na pia kuna baadhi ya mademu walikua wameungua tayari.

(Hawa mademu walikua wanaliwa na maafande kule makambini halafu maafande walikua wameshaungua tayariii).

Pia ukifanikiwa kuingia CCP inatakiwa nidhamu ya hali ya juu,wadau wengi wamefukuzwa kwa kesi mbalimbali kama vile simu na Mapenzi.

Kuna jamaa ile siku ya mwisho ya kumaliza mafunzo,alijichanganya akageuza kofia(zile za polisi) Nyuma mbele,Sasa ubaya wakati amevaa ile kofia vile Maafisa mbalimbali wa jeshi la polisi wakamuona,Kama ujuavyo tena siku ya mahafali maafisa wanakuaga wengi siku ya kumaliza mafunzo.

Basi jamaa[emoji28] akaitwa akaambiwa akavue uniform faster Maana hajaiva kwenye kozi..

CCP ni pale unapoona unapelekwa kwa RPC wako ndio ujue kazi umepata,ila ukiwa pale kambini hata kama ni siku ya mwisho unatakiwa ujichunge.

Nimewaibia lonja[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na tusizurure ovyo...hatuombei ajali za barabarani ila tunaweza jikinga nazo.
 
Back
Top Bottom