Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Nimeona wameandika namba ya jkt na jina la KambiForce no
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona wameandika namba ya jkt na jina la KambiForce no
Kua mbali na women police,watakuharibia kazi[emoji28]Wale wazee wa kusimamisha minazi tumeonywa,
Hapo kwenye namba ya jkt , tunaandika namba ipiNimeona wameandika namba ya jkt na jina la Kambi
Force number bro..Hapo kwenye namba ya jkt , tunaandika namba ipi
Kwa kuongezea wengine walrudi kwa issue ya ugonjwa wa "homa ya ini" yaani hepatitis B. Ukiwa nayo hutoboi kuleWadau tuendelee kutunza afya vizuri.
Mtoto wa kiume usikubali kuuza mechi kizembe,Huu si wakati wa kupapatikia mademu wa ajabu.
Intake iliyopita wadau wengi walikua UNFIT kutokana na matatizo kadhaa,Kuna mwamba alikosa nafasi kutokana alikua anatumia bangi na pia kuna baadhi ya mademu walikua wameungua tayari.
(Hawa mademu walikua wanaliwa na maafande kule makambini halafu maafande walikua wameshaungua tayariii).
Pia ukifanikiwa kuingia CCP inatakiwa nidhamu ya hali ya juu,wadau wengi wamefukuzwa kwa kesi mbalimbali kama vile simu na Mapenzi.
Kuna jamaa ile siku ya mwisho ya kumaliza mafunzo,alijichanganya akageuza kofia(zile za polisi) Nyuma mbele,Sasa ubaya wakati amevaa ile kofia vile Maafisa mbalimbali wa jeshi la polisi wakamuona,Kama ujuavyo tena siku ya mahafali maafisa wanakuaga wengi siku ya kumaliza mafunzo.
Basi jamaa[emoji28] akaitwa akaambiwa akavue uniform faster Maana hajaiva kwenye kozi..
CCP ni pale unapoona unapelekwa kwa RPC wako ndio ujue kazi umepata,ila ukiwa pale kambini hata kama ni siku ya mwisho unatakiwa ujichunge.
Nimewaibia lonja[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi dogo katoka ccp intake iliyopita so lonja za kule kibao ninazoLonja kali sn.
Nlichogundua humu ndani kuna w2 wako vitengo hlf wanatuchora tu team wasakatonge.ila umeshaur k2 kizuri sn mzee Mungu akubarik. Kwa watakaobahatika kufika huko watazingatia haya
Sio chini ya miezi 9. Kuna intake zilishawah kukaa hadi mwaka. Hiyo miezi 9 ni minimum. Intake iliyopita Nadhan ilifika miezi 10 maana walireport ccp oct 23 ila mafunzo rasmi yakafunguliwa 1 December. So kulikuw na mwezi mmoja wa "bure kitendo"CCP ni miezi 9 kumbe
Sahihi kabisa 😂😂😂 Zimamoto huwa sio ndefu sana. Uhamiaji Nadhani ni miezi 6 hiviIla sema nawaambia tu ilitokea labda majina fainali yakaja kote kote labda itokee umepata bahati hiyo
Polisi na fire
Au uhamiaji na polisi
Nakusihi usiende ccp ..
Bora miezi sita .. kuliko 9 ya kubeti [emoji3]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kheee kwahyo kwenye huu uzi wote ni mabro , me sio bro [emoji38]
Nshakupenda matronKheee kwahyo kwenye huu uzi wote ni mabro , me sio bro [emoji38]
Na tusizurure ovyo...hatuombei ajali za barabarani ila tunaweza jikinga nazo.Wadau tuendelee kutunza afya vizuri.
Mtoto wa kiume usikubali kuuza mechi kizembe,Huu si wakati wa kupapatikia mademu wa ajabu.
Intake iliyopita wadau wengi walikua UNFIT kutokana na matatizo kadhaa,Kuna mwamba alikosa nafasi kutokana alikua anatumia bangi na pia kuna baadhi ya mademu walikua wameungua tayari.
(Hawa mademu walikua wanaliwa na maafande kule makambini halafu maafande walikua wameshaungua tayariii).
Pia ukifanikiwa kuingia CCP inatakiwa nidhamu ya hali ya juu,wadau wengi wamefukuzwa kwa kesi mbalimbali kama vile simu na Mapenzi.
Kuna jamaa ile siku ya mwisho ya kumaliza mafunzo,alijichanganya akageuza kofia(zile za polisi) Nyuma mbele,Sasa ubaya wakati amevaa ile kofia vile Maafisa mbalimbali wa jeshi la polisi wakamuona,Kama ujuavyo tena siku ya mahafali maafisa wanakuaga wengi siku ya kumaliza mafunzo.
Basi jamaa[emoji28] akaitwa akaambiwa akavue uniform faster Maana hajaiva kwenye kozi..
CCP ni pale unapoona unapelekwa kwa RPC wako ndio ujue kazi umepata,ila ukiwa pale kambini hata kama ni siku ya mwisho unatakiwa ujichunge.
Nimewaibia lonja[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina , tupate sote this time [emoji120]Matron nakuombea upate kazi alafu
Nshakupenda matron
Nipo hapa kukuelekeza kwa lolote Matron.Feel free 😉Kheee kwahyo kwenye huu uzi wote ni mabro , me sio bro [emoji38]
Umewahi kuiona scale ya PT?Baba hata wapige intro ya namna gan scale yake haitazid niliopigw pale 835 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na CCP mtakimbia Mabio sio poa 😂😂😂Makamanda tutunze sana damu kwa kweli na kama una ndoto ya kua askari ishi kiaskari hata uraiani mabio iwe ndo key yako
Wee usinambie [emoji4]Nipo hapa kukuelekeza kwa lolote Matron.Feel free [emoji6]