Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Jamaa kila siku jtatu hadi ijumaa ni master parade,wanakaguliwa usafi,uwe umenyosha na kung'arisha kiatu vizuri.Kule unaishi kama mzuka mda wote mimi kuruta " mimi kuruta"
Mda wowote unaogopa kujichanganya ukaaga mashindano na asikwambie mtu hivi unajua maisha ya uoga ya kuwindana kama digidigi yalivyo ? [emoji3]
Ukiumwa kidogo malaria we tayari unfit , buti hujapiga kiwi we tayari ushaharibu [emoji3]
Ndio maana wakimaliza wakichomoka ccp wanakuwa wamevurugwa morali kama zote usiombe ukutane na kisanga cha askari mpya huo utukutu wako utaisha