mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
wakuu mi niwatakie usikumwema . tuombeane kheri pdf ikitoka tusimwache mtuu kitaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] kamanda kaongea kwa hasira sana!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wew jamaa itakuw ulipokea bahasha ya mwamba ili uipost hlf umeikalia tu[emoji1787]
wakuu mi niwatakie usikumwema . tuombeane kheri pdf ikitoka tusimwache mtuu kitaa
Na hata hawachukuagi muda mrefuNa kwako pia kiongozi. Kesho ndio mwisho UT tuanze kusubiri pdf ya kuitwa Dodoma sasa.
Kwa makadirio depo inaweza kuwa mwez wapil katkat au mwshon syooNa kwako pia kiongozi. Kesho ndio mwisho UT tuanze kusubiri pdf ya kuitwa Dodoma sasa.
Kuchakat maybe 1mnth. Au mwaka huu wanaweza changamka kdgo..Na hata hawachukuagi muda mrefu
Frsh kaka we lalia mgongo. God atabless tusi sahau kumwomba Mungu manaa yeye ndiye kila kitu.. akiamua kaamua..Na kwako pia kiongozi. Kesho ndio mwisho UT tuanze kusubiri pdf ya kuitwa Dodoma sasa.
Kama depo iliopita walichakata fasta in 1month Kila kitu kilimalizika na watu kwenda reportKuchakat maybe 1mnth. Au mwaka huu wanaweza changamka kdgo..
Kabisa,huku wote tunabishana lkn hatufikii hatua hyo ya kumuombea mabaya kbs mwenzio ain't fair guys.awe na akiba na maneno yake mkuu,yy sio GOD
Umeona eeh[emoji23][emoji23][emoji23] kamanda kaongea kwa hasira sana!!!
Wale ni nusu komandooWale ni kasheshe..😆😆
Wanapitia special training za kudeal na magaidi na watukutuWale ni nusu komandoo
Mwaka huu nadhan ilikuw February tarehe kama za 20 na kuendelea kama sijachanganya mafile.Kwa makadirio depo inaweza kuwa mwez wapil katkat au mwshon syoo
Iliyopita ilikuwa mwaka jana mwishoni kwenye mwezi wa 11Mwaka huu nadhan ilikuw February tarehe kama za 20 na kuendelea kama sijachanganya mafile.
Kaka baridi la kule ni kisangaMiwili huko nasikia...kuna baridi sio poa
Kuwa table leader wa kudumu utafurahia maisha master parade uendi wala kipindi huendi we ni kula maisha tu na masufuria yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi kwako kutimia kila kipindi au uwe mjanja upunguze makali ya course kwa kukamata kitengo
Me niliomba na chet cha 4 ingawa umri na mwaka wa kumaliza 4 vimenitupaWalioingia zaman walifaidi sana asee. Mabega yakichafuka raha sana. Pia Zimamoto pia kuna urahisi. Watu mliogopa kuomba kule proffesionals kutokana na wao kutaka form 4 tu ila nakuambia kwenye interview wataita na proffesionals. Nakuibia lonja.
I
😂😂😂Kuwa table leader wa kudumu utafurahia maisha master parade uendi wala kipindi huendi we ni kula maisha tu na masufuria yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa kama depo ya juzi basi uwenda nakufahamuYule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu [emoji23]. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] ila at the end mnazoea