Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Walioingia zaman walifaidi sana asee. Mabega yakichafuka raha sana. Pia Zimamoto pia kuna urahisi. Watu mliogopa kuomba kule proffesionals kutokana na wao kutaka form 4 tu ila nakuambia kwenye interview wataita na proffesionals. Nakuibia lonja.

I
Me niliomba na chet cha 4 ingawa umri na mwaka wa kumaliza 4 vimenitupa
 
Yule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu [emoji23]. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] ila at the end mnazoea
We jamaa kama depo ya juzi basi uwenda nakufahamu
 
Back
Top Bottom