Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mm nimetumwa na Mungu 😂Munawajua baba kantuma nyie
Jiji lina fujo hilo hatari.Hivi usaili mkoani PT ushaanza?
Me nipo jiji la vibopa na wajuaji DSM
Kuna wadau huko juu wamekuja na shuhuda ya baadhi ya mikoa tayari usaili wa polisiHivi usaili mkoani PT ushaanza?
Me nipo jiji la vibopa na wajuaji DSM
Siku napeleka form kuna jamaa alikuwa kavaa Kaunda suti alikuja kasalimiana na wale wadada wapokea barua( kuna kidada kina zarau kweli) anampiga simu kumuuliza anayempigia kama ashapeleka barua za maombiJiji lina fujo hilo hatari.
Kila mtu anajifanya Mjanja.
Ahahaha, vishoka hao, wapo kaziniSiku napeleka form kuna jamaa alikuwa kavaa Kaunda suti alikuja kasalimiana na wale wadada wapokea barua( kuna kidada kina zarau kweli) anampiga simu kumuuliza anayempigia kama ashapeleka barua za maombi
Bado,nilisikia ndiyo wanapakua maombi na yapo zaidi ya 30k.Hivi PT makao makuu,lonja ya usahili lini wakuu
Sema wakuu hali ya ajira nchini ni mbaya sana watu 30k na uhamiaji napo 30k alafu mbaya zaidi idadi kubwa ni wasomi hali ni mbaya sana asee zamani upolisi watu tulikua tunaukimbia lakini kutokana na changamoto ya ajira Leo hii tunapakimbilia ili tupate chochote kinywani tupambane wakuu popote kambi ilimradi mambo yaende ukisubiri unachokitaka lazima utafeli tu chamsingi kuangalia kilichopo mbeleni ndo cha msingi GOOD MORNINGBado,nilisikia ndiyo wanapakua maombi na yapo zaidi ya 30k.
Meseji ya kuanzia siku[emoji122]Sema wakuu hali ya ajira nchini ni mbaya sana watu 30k na uhamiaji napo 30k alafu mbaya zaidi idadi kubwa ni wasomi hali ni mbaya sana asee zamani upolisi watu tulikua tunaukimbia lakini kutokana na changamoto ya ajira Leo hii tunapakimbilia ili tupate chochote kinywani tupambane wakuu popote kambi ilimradi mambo yaende ukisubiri unachokitaka lazima utafeli tu chamsingi kuangalia kilichopo mbeleni ndo cha msingi GOOD MORNING
Bado,nilisikia ndiyo wanapakua maombi na yapo zaidi ya 30k.
Walioomba UT ndio walewale walioomba PT. Watu wanasikilizia wapi patatiki 😂😂 tuombe Mungu atoe Kibali cha sisi kupata ajira kwa uweza wake.Sema wakuu hali ya ajira nchini ni mbaya sana watu 30k na uhamiaji napo 30k alafu mbaya zaidi idadi kubwa ni wasomi hali ni mbaya sana asee zamani upolisi watu tulikua tunaukimbia lakini kutokana na changamoto ya ajira Leo hii tunapakimbilia ili tupate chochote kinywani tupambane wakuu popote kambi ilimradi mambo yaende ukisubiri unachokitaka lazima utafeli tu chamsingi kuangalia kilichopo mbeleni ndo cha msingi GOOD MORNING
Kijana upo?Meseji ya kuanzia siku[emoji122]
Apo Degree holders kama woteBado,nilisikia ndiyo wanapakua maombi na yapo zaidi ya 30k.
Kwani nafasi polisi si 3000 au?Maombi 30k hii ina maanisha kila nafasi 1 inagombewa na watu 12,tujipime hapa.
Wanaweza kupewa nafasi nyingine 1000 kwa ajili ya watu wa elimu za juu maana nafasi zao kwasasa ni chache sana.
Inasemekana vijana mliopita JKT mkienda kwenye kozi za Majeshi nje ya JWTZ mmepimwa na kuonekana ni wasumbufu sana,kindhamu hasa,tusije kushangaa ajira zingine mbeleni wakabadili mfumo wa kuchukua JKT tu na kurudisha ule wa zamani.
Mnakosa ile kitu inaitwa Police Culture.
Kombe Lonja kali sana
Felia ndio wanasumbua Sana baadhi ya mikoa wamechukua form 4 kwa div one hadi 3 ,four wameachwa kingine kuruta wa kujitolea wengi ni darasa la saba ndio wanazidi kuongeza usumbufuMaombi 30k hii ina maanisha kila nafasi 1 inagombewa na watu 12,tujipime hapa.
Wanaweza kupewa nafasi nyingine 1000 kwa ajili ya watu wa elimu za juu maana nafasi zao kwasasa ni chache sana.
Inasemekana vijana mliopita JKT mkienda kwenye kozi za Majeshi nje ya JWTZ mmepimwa na kuonekana ni wasumbufu sana,kindhamu hasa,tusije kushangaa ajira zingine mbeleni wakabadili mfumo wa kuchukua JKT tu na kurudisha ule wa zamani.
Mnakosa ile kitu inaitwa Police Culture.
Hapo kuna watu ni vichwa ngumu ,utakuta mtu mfano anadegree au diploma ya ualimu au mziki naye kaaply , kuongeza mzigo tu na usumbufuApo Degree holders kama wote