Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jiji lina fujo hilo hatari.
Kila mtu anajifanya Mjanja.
Siku napeleka form kuna jamaa alikuwa kavaa Kaunda suti alikuja kasalimiana na wale wadada wapokea barua( kuna kidada kina zarau kweli) anampiga simu kumuuliza anayempigia kama ashapeleka barua za maombi
 
Bado,nilisikia ndiyo wanapakua maombi na yapo zaidi ya 30k.
Sema wakuu hali ya ajira nchini ni mbaya sana watu 30k na uhamiaji napo 30k alafu mbaya zaidi idadi kubwa ni wasomi hali ni mbaya sana asee zamani upolisi watu tulikua tunaukimbia lakini kutokana na changamoto ya ajira Leo hii tunapakimbilia ili tupate chochote kinywani tupambane wakuu popote kambi ilimradi mambo yaende ukisubiri unachokitaka lazima utafeli tu chamsingi kuangalia kilichopo mbeleni ndo cha msingi GOOD MORNING
 
Meseji ya kuanzia siku[emoji122]
 
Walioomba UT ndio walewale walioomba PT. Watu wanasikilizia wapi patatiki 😂😂 tuombe Mungu atoe Kibali cha sisi kupata ajira kwa uweza wake.
 
Maombi 30k hii ina maanisha kila nafasi 1 inagombewa na watu 12,tujipime hapa.
Wanaweza kupewa nafasi nyingine 1000 kwa ajili ya watu wa elimu za juu maana nafasi zao kwasasa ni chache sana.
Inasemekana vijana mliopita JKT mkienda kwenye kozi za Majeshi nje ya JWTZ mmepimwa na kuonekana ni wasumbufu sana,kindhamu hasa,tusije kushangaa ajira zingine mbeleni wakabadili mfumo wa kuchukua JKT tu na kurudisha ule wa zamani.
Mnakosa ile kitu inaitwa Police Culture.
 
Kwani nafasi polisi si 3000 au?
 
Kaa kimaster kama hiyo picha ya kwenye profile yako , 🤣🤣🤣🤣,huku mbanga ,huku ndumba + maombi ya Mwamposa 🤣🤣🤣🤣kombe linapambaniwa kibabe 🤣🤣🤣🤣🤣Dah ,ila bongo hii .
Nikija kupata mtoto sitaki kabisa apitie hii fedheha , ni aibu mtu 30k zinapambania kombe
Kombe Lonja kali sana
 
Maombi 30k hii ina maanisha kila nafasi 1 inagombewa na watu 12,tujipime hapa.
Wanaweza kupewa nafasi nyingine 1000 kwa ajili ya watu wa elimu za juu maana nafasi zao kwasasa ni chache sana.
Inasemekana vijana mliopita JKT mkienda kwenye kozi za Majeshi nje ya JWTZ mmepimwa na kuonekana ni wasumbufu sana,kindhamu hasa,tusije kushangaa ajira zingine mbeleni wakabadili mfumo wa kuchukua JKT tu na kurudisha ule wa zamani.
Mnakosa ile kitu inaitwa Police Culture.
Felia ndio wanasumbua Sana baadhi ya mikoa wamechukua form 4 kwa div one hadi 3 ,four wameachwa kingine kuruta wa kujitolea wengi ni darasa la saba ndio wanazidi kuongeza usumbufu
 
Back
Top Bottom