Mdudubitehunter
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 309
- 538
Acha tu pot na Uhamiaji sikuomba[emoji23]Na ngumi ya sugunyo ikakupapasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu pot na Uhamiaji sikuomba[emoji23]Na ngumi ya sugunyo ikakupapasa
Wakatwe sehemu moja inaonekana fire wanataka wabebe wale mia tano wote (according to jamaa wa ikulu)Wameambiwa wachague fire au pt kivipi?
Majina mnayapata huko kwa RPCs. Fatilia hukoWadau kwani majina ya usaili mikoani yanapitakana wapiii??
Au sisi ni kwenda hyo tarehe kwa makamanda vikosi moja kwa moja??
Yaani nachanganyikiwa
Hapana lengo ni PT ili nimkamate jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 1979 baada ya vita ya kagerakwahyo unazama JW chief?
Hujawah fanya usahili mkoani ama?Wadau kwani majina ya usaili mikoani yanapitakana wapiii??
Au sisi ni kwenda hyo tarehe kwa makamanda vikosi moja kwa moja??
Yaani nachanganyikiwa
Hili nilisema mm kuwa idad ya walioitwa fire kama wakiondoa watu basi ni wachache mno. Maana ni kama walikuw wameita watu idadi kamili yan kwa usaili.Wakatwe sehemu moja inaonekana fire wanataka wabebe wale mia tano wote (according to jamaa wa ikulu)
Ww una maelekezo mazito chief acha zakoHapana lengo ni PT ili nimkamate jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 1979 baada ya vita ya kagera
Fire nao wameachia?Fire jina lipo
Polisi jina lipo
Hapa bado JW
Kwahy majina yamebandikwa ??Fatilia jina lako kwa RPC huko ulikoomba. Usaili wenu utaanza mapema mikoan huko kabla ya hawa proffesionals.
Pambania pdf ya mwisho sasaFire jina lipo
Polisi jina lipo
Hapa bado JW
Nenda kafatilie kijana.Kwahy majina yamebandikwa ??
Punguza uoga chief....fuata maelekezo tuKwahy majina yamebandikwa ??
Yeah ndio hivyo na kesho usaili mchawi ni afya tu kama kuna mtu ana miaka chini ya 23 alafu kakosa ......ajiuwe 20 to 23 wamepewa uspeciallyHili nilisema mm kuwa idad ya walioitwa fire kama wakiondoa watu basi ni wachache mno. Maana ni kama walikuw wameita watu idadi kamili yan kwa usaili.
Usaili keshoFire nao wameachia?
Kila kitu kipo well organized mipango nilianza mwaka 2019 mwanzoniPambania pdf ya mwisho sasa
Hapo kwenye afya ni nn na nn wanacheck kakaYeah ndio hivyo na kesho usaili mchawi ni afya tu kama kuna mtu ana miaka chini ya 23 alafu kakosa ......ajiuwe 20 to 23 wamepewa uspecially