Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wadau kwani majina ya usaili mikoani yanapitakana wapiii??
Au sisi ni kwenda hyo tarehe kwa makamanda vikosi moja kwa moja??

Yaani nachanganyikiwa
Hujawah fanya usahili mkoani ama?
Huwa wanapiga simu ..usipopigiwa nenda mkoani polisi kwenye mbao zao pale lazma utakuta maelekezo
 
Taarifaa hii hapa
20230117_135257.jpg
 
Back
Top Bottom