Inawezekana pia.. ila Kuna sehemu PT usaili ulikuw bado pia na kuna sehemu umefanyika leo pia.MT hao.,!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana pia.. ila Kuna sehemu PT usaili ulikuw bado pia na kuna sehemu umefanyika leo pia.MT hao.,!!
ExactlyInawezekana pia.. ila Kuna sehemu PT usaili ulikuw bado pia na kuna sehemu umefanyika leo pia.
Wakati ukifika pdf itatoka. Msijipe presha isiyo na msingiWeek hii haiwezi pita bila kutoa pdf
Wanafikiri watu tunakurupuka tu kamanda. Umepotea sana chiefDah nimecheka sana watu mnajifanya wajuaji sana. Anyways, Kuna wilaya PT usaili ulikuw bado haujakamilika kwa sababu fulani. Nafahamu kuna wilaya za mkoa wa Moro usaili umefanyika leo.
Duuh...!! Mimi wilaya yangu MT ndio walikuwa wanafanya leo.. hiyo ya PT sikujua!!Inawezekana pia.. ila Kuna sehemu PT usaili ulikuw bado pia na kuna sehemu umefanyika leo pia.
Itaje hiyo wilaya. We ndo unaongea bila fact.Unabisha ukiwa na fact au unaamua tu kubisha kwa kuwa unataka Ligi?
AiseeInawezekana pia.. ila Kuna sehemu PT usaili ulikuw bado pia na kuna sehemu umefanyika leo pia.
Ahsante kwa taarifa mkuuOya lonja hii nawapa,japokuwa itaumiza hususani kwa watu wa fani
Iko hivi usaili Kuna baadhi ya mikoa na vikosi unafanyika Tena mara ya pili
Tena kimya kimya,kwa watu wenye mibuyu yao.
HakikaWakuu me ndo first time kama ivi kupiga interview za majeshi.
Polisi Nimeomba tuliokuwa Arusha kwa ajili ya usaili nahisi tumeona wenyew....usaili unaisha saa tano usiku(mchongo)tu walikuwa na watu wao.
Magereza mujibu wametutema pia,Gereza kuuu arusha.
Uhamiaji nilipigwa ndoige ata usaili siku itwa
Ile ilikuwa msugunyo kabxa[emoji28]maan ni bure kitendo.
TAKUKURU nimehustle mpka kupata cheti cha lasaba lakini nayo mpepeso[emoji28][emoji706].
Me nimepita tu OP ya juzi tu venance mabeo 2022.
Niko chuo ila mkopo ndo shida nahisi mnalewa mzigo apo wanaonisomesha unakuwaje...
Na mimi kijana damu mbichi kabxa ndo naona kwann nisingie chomboni niokoe gharama za ndugu na jamaa.
Me kiukweli nimevunjika moyo[emoji174]
Ila nguvu napataga nikicheki wahuni apa kwa uu uzi op za mbali wakina (makao)
Bado wanaanguka nakuinuka...ngangamala!
Me nacho omba kuna watu apa naona kama wanauwezo na ata kama so uwezo wanamelekezo flan yanayoweza kutusaidia
(Obsevation zangu)
Wakina
@Dystonia
Na wengine wengi.
Kwao wakubwa kama mnaeza kutusaidia kwa namna moja ama nyingne.
Naomba mfanye hvyo
So lazma umchukue wote ile ukiingiza wachache na sisi tutavuta wengine
Siku moja tukiwa depo tuseme ili lilikuwa bogi la jamii forum[emoji28].
Nashukuru yangu ni hayo.
No retreat,no surrender.[emoji816]
Hiki kitu km kweli,Basi ilikuwa haina haja ya kuita watu ni upuuziOya lonja hii nawapa,japokuwa itaumiza hususani kwa watu wa fani
Iko hivi usaili Kuna baadhi ya mikoa na vikosi unafanyika Tena mara ya pili
Tena kimya kimya,kwa watu wenye mibuyu yao.
Au watu wangeitwa usaili mwezi huu wa pili sasa at least.Hiki kitu km kweli,Basi ilikuwa haina haja ya kuita watu ni upuuzi
Yani mambo ni vurugu tupuAu watu wangeitwa usaili mwezi huu wa pili sasa at least.
Hongera sana mwanangu unajua kuandika vizuri sana.Sasa ulitaka nitumie lugha ipi ? , Unajua effects za hao wapumbavu kucorrupt mfumo wa ajira nchi hii kwa rushwa na upendeleo katika mfumo wa ajira ? Au na wewe ni mnufaika wa huo mfumo ovu ?
Nonesense
Moro pia Kuna watu wameitwa na kufanya Tena leo!Kuna wilaya nimepita, nimekuta vijana wa form 4 ndio wanafanya usaili leo
We ndo unaota coz unabishana bill kuwa well informed.Aaaah mkuu, hebu amka sasa ni ndoto hiyo kamanda.
Kama huamini nenda hata kesho kilwa road hapo mfano kwenye kikosi afya na kikosi cha mbwa na farasi ,utakuta watu wanapiga usailiHiki kitu km kweli,Basi ilikuwa haina haja ya kuita watu ni upuuzi
Sijaamini taarifa hiyo.We ndo unaota coz unabishana bill kuwa well informed.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app