Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Dah nimecheka sana watu mnajifanya wajuaji sana. Anyways, Kuna wilaya PT usaili ulikuw bado haujakamilika kwa sababu fulani. Nafahamu kuna wilaya za mkoa wa Moro usaili umefanyika leo.
Wanafikiri watu tunakurupuka tu kamanda. Umepotea sana chief
 
Oya lonja hii nawapa,japokuwa itaumiza hususani kwa watu wa fani
Iko hivi usaili Kuna baadhi ya mikoa na vikosi unafanyika Tena mara ya pili
Tena kimya kimya,kwa watu wenye mibuyu yao.
 
Wakuu me ndo first time kama ivi kupiga interview za majeshi.
Polisi Nimeomba tuliokuwa Arusha kwa ajili ya usaili nahisi tumeona wenyew....usaili unaisha saa tano usiku(mchongo)tu walikuwa na watu wao.
Magereza mujibu wametutema pia,Gereza kuuu arusha.
Uhamiaji nilipigwa ndoige ata usaili siku itwa
Ile ilikuwa msugunyo kabxa😅maan ni bure kitendo.
TAKUKURU nimehustle mpka kupata cheti cha lasaba lakini nayo mpepeso😅🚮.

Me nimepita tu OP ya juzi tu venance mabeo 2022.
Niko chuo ila mkopo ndo shida nahisi mnalewa mzigo apo wanaonisomesha unakuwaje...
Na mimi kijana damu mbichi kabxa ndo naona kwann nisingie chomboni niokoe gharama za ndugu na jamaa.

Me kiukweli nimevunjika moyo💔
Ila nguvu napataga nikicheki wahuni apa kwa uu uzi op za mbali wakina (makao)
Bado wanaanguka nakuinuka...ngangamala!

Me nacho omba kuna watu apa naona kama wanauwezo na ata kama so uwezo wanamelekezo flan yanayoweza kutusaidia
(Obsevation zangu)

Wakina
@Dystonia
Na wengine wengi.
Kwao wakubwa kama mnaeza kutusaidia kwa namna moja ama nyingne.
Naomba mfanye hvyo
So lazma umchukue wote ile ukiingiza wachache na sisi tutavuta wengine

Siku moja tukiwa depo tuseme ili lilikuwa bogi la jamii forum😅.

Nashukuru yangu ni hayo.
No retreat,no surrender.💮
 
Sasa hivi tunaisubiri kwa siku yeyote wataoamua wao kuiachia wao hiyo pdf
 
Oya lonja hii nawapa,japokuwa itaumiza hususani kwa watu wa fani
Iko hivi usaili Kuna baadhi ya mikoa na vikosi unafanyika Tena mara ya pili
Tena kimya kimya,kwa watu wenye mibuyu yao.
Ahsante kwa taarifa mkuu
 
Wakuu me ndo first time kama ivi kupiga interview za majeshi.
Polisi Nimeomba tuliokuwa Arusha kwa ajili ya usaili nahisi tumeona wenyew....usaili unaisha saa tano usiku(mchongo)tu walikuwa na watu wao.
Magereza mujibu wametutema pia,Gereza kuuu arusha.
Uhamiaji nilipigwa ndoige ata usaili siku itwa
Ile ilikuwa msugunyo kabxa[emoji28]maan ni bure kitendo.
TAKUKURU nimehustle mpka kupata cheti cha lasaba lakini nayo mpepeso[emoji28][emoji706].

Me nimepita tu OP ya juzi tu venance mabeo 2022.
Niko chuo ila mkopo ndo shida nahisi mnalewa mzigo apo wanaonisomesha unakuwaje...
Na mimi kijana damu mbichi kabxa ndo naona kwann nisingie chomboni niokoe gharama za ndugu na jamaa.

Me kiukweli nimevunjika moyo[emoji174]
Ila nguvu napataga nikicheki wahuni apa kwa uu uzi op za mbali wakina (makao)
Bado wanaanguka nakuinuka...ngangamala!

Me nacho omba kuna watu apa naona kama wanauwezo na ata kama so uwezo wanamelekezo flan yanayoweza kutusaidia
(Obsevation zangu)

Wakina
@Dystonia
Na wengine wengi.
Kwao wakubwa kama mnaeza kutusaidia kwa namna moja ama nyingne.
Naomba mfanye hvyo
So lazma umchukue wote ile ukiingiza wachache na sisi tutavuta wengine

Siku moja tukiwa depo tuseme ili lilikuwa bogi la jamii forum[emoji28].

Nashukuru yangu ni hayo.
No retreat,no surrender.[emoji816]
Hakika
 
Oya lonja hii nawapa,japokuwa itaumiza hususani kwa watu wa fani
Iko hivi usaili Kuna baadhi ya mikoa na vikosi unafanyika Tena mara ya pili
Tena kimya kimya,kwa watu wenye mibuyu yao.
Hiki kitu km kweli,Basi ilikuwa haina haja ya kuita watu ni upuuzi
 
Sasa ulitaka nitumie lugha ipi ? , Unajua effects za hao wapumbavu kucorrupt mfumo wa ajira nchi hii kwa rushwa na upendeleo katika mfumo wa ajira ? Au na wewe ni mnufaika wa huo mfumo ovu ?
Nonesense
Hongera sana mwanangu unajua kuandika vizuri sana.
 
Back
Top Bottom