Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Cha kwanza! Ndiyo najua umekurupuka sasa Ili tuendelee nna ka swali kadogo maana unaweza kuwa unaongea tu hapa kwa kusikia stori tu na nnauliza hivi sababu kwa mwaka huo OP SAMIA wanafanyiwa usaili nilikuwa kanda hyo na nilishuhudia mpaka madogo wanafanyiwa usahili, Je huyo mdogo wako alikuwa kikosi gani?

Halafu kingine hivi inakuaje kwa ulimwengu huu wa wasomi waanze kuwabembeleza hiyo big NO!

Ipo hivi walifanyiwa usahili na waliobahatika ni wachache sana na wakawaambia tutawapigia simu ila sio kama unavyosema wewe hapo ko hakuna aliye baki wala nini, muda ulivyofika wa kuondoka waliondoka wote
Bora hata huyo... Anajua kabisa hana uhakika!!

Kuna mmoja huko anajiita zee la kazi, hakuna anachojua na kwa wanaomsahihisha anawaona low IQ.

Mbaya zaidi anajiita 92.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bora hata huyo... Anajua kabisa hana uhakika!!

Kuna mmoja huko anajiita zee la kazi, hakuna anachojua na kwa wanaomsahihisha anawaona low IQ.

Mbaya zaidi anajiita 92.[emoji16][emoji16][emoji16]
I wonder Where Your manners Be? Kunitaja sio ujasiri hiyo ni suicide bruh
 
Hebu ficha ujinga wako mzee, ni jeshi gani hilo ambalo halichukui mujibu wa sheria, nina uhakika na ninachokiandika acheni kulazimisha vitu ambavyo havipo
Hakuna sehemu nimesema hawachukui...!!

Wanawachukua tena sana tuu kwa kuzunguka kanda mbalimbali kika mwaka kwa ajili ya Military science.!!

Ninachokosoa ni mtu kutokujua kitu kiundani, na kujiona anajua sana na mbaya zaidi kukataa kukosolewa.
 
Sasa kwa muktadha huo ni huyo jamaa ndiye ambaye hajui na si mimi, maana yeye anasema mujibu wa sheria hawahitajiki kabisa jeshini na wakimaliza course wote wanaondoka wakati uhalisia hauko hivyo, mtu kama huyu naye ukimkosoa na kumuambia ukweli anakuita mjuaji sasa sijui kati ya mimi na yeye nani mjuaji hapo
Nimerejea tena kusoma na wote mpo sahihi...!!

Mkanganyiko ulianza baada ya wewe kusema waliulizwa kama wanataka kubaki..! Wanataka kubaki wapi?? Jamaa huyo alidhani labda waliulizwa kuwa wanataka JKT. Kitu ambacho hakipo.
 
Twende mbele turudi nyuma...watu wa kujitolea wanajikutaga askari sana...kumbe hamna kitu... kuna mmoja nmpenda nae bus jana kaanza ksumbua watu anasema yeye ni askari...kumuuliza kumbe ni service Man.
 
Ulimbukeni unawasumbua tuu... Hawana lolote!! Askari aliyeiva kweli huwezi kukuta anasumbua watu!
 
Twende mbele turudi nyuma...watu wa kujitolea wanajikutaga askari sana...kumbe hamna kitu... kuna mmoja nmpenda nae bus jana kaanza ksumbua watu anasema yeye ni askari...kumuuliza kumbe ni service Man.
Hawaelewi maana ya jwtz-jeshi la wananchi wa Tanzania... Yaan unakuwa Kwa ajili ya wananchi then hao hao unawapa mikwala... Ni ujinga tu...
 
Wanetu wa kujitoleaa wanajionaga washakua masoja tayari dah[emoji16]
No hard feeling[emoji869]

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwasamehe bure tuu... Shida wanazopata huko lazima wadate!!

Mashamba ya kwenda.(mpunga chita, Embakasi-mlale, Milundikwa mahindi... Bado ujenzi wa kufa mtu)

Ulinzi na ukakamavu siku zote za miaka yao!! Lazima wajisahau mkuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom