Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Amna wee jieshimu pia nenda na mada ambayo kila mtu ataichangia kwa faida sio kwa mabashano ambayo hayana faida yoyote pia kingine

Kama kweli wew upo kwenye kitengo basi inabidi ufate kanuni zako za kazi ivi

Unahisi umu ndani upo mwenyewe private au

Wapi wengi sana umu ndani ila wanajua nini maana ya kazi yao saa wew unabishana vitu ambavyo havina faida yoyote

Mii nakuomba wee kausha tuuh kama yeye anaona yupo sawa basi muache abaki na ukweli wake na wew ubaki na ukweli wako
Maturity Advice
 
Mkuu kwani wewe ni mgeni jf humu watu wanakujibu kulingana na ulivyokuja, aliyeleta dharau nani wewe si ndio umesema huko msata ambako mimi napaota wewe umeshapita kitambo mimi nikakuambia wala sina mpango wa kuwa mwanajeshi ningekuwa nao basi ningeshakuwa miaka mingi, sasa mbona unasema mimi ndio nina dharau tena
Hapo unaposema ww na vilaza wenzio
 
Mkuu kwani wewe ni mgeni jf humu watu wanakujibu kulingana na ulivyokuja, aliyeleta dharau nani wewe si ndio umesema huko msata ambako mimi napaota wewe umeshapita kitambo mimi nikakuambia wala sina mpango wa kuwa mwanajeshi ningekuwa nao basi ningeshakuwa miaka mingi, sasa mbona unasema mimi ndio nina dharau tena
Ndomana Awali nilikwambiaje ndugu humu kn watu watakuw wana type huku wameshika chupa za jamaa mwnye mikono miwil juu katunisha misuli..huwez ukakosolewa afu useme una andamwa yan umeanzish ugomv afu umepigwa unaanz kuita msaada
 
Mimi ningekuwa nina mpango wa kuwa mwanajeshi ningeshakuwa kitambo tena sasa hivi ningekuwa captain, maana chance nilikuwa nayo tangu naingia jkt kwa mujibu wa sheria ila sikuhitaji, wewe na vilaza wenzio ndio mlikuwa mnaiota kihangaiko

Ndio maana umesota kote huko mara mujibu mara chuo mara urudi tena kujitolea sababu hukuwa na connection

Wale wenzio wenye connection wala hawasoti miaka yote hiyo
basi tuseme hivi hawa wenzako waliopita mujibu wakaenda chuo na saiv wanalitaka Tena jeshi Ni vilaza pia
 
Ndomana Awali nilikwambiaje ndugu humu kn watu watakuw wana type huku wameshika chupa za jamaa mwnye mikono miwil juu katunisha misuli..huwez ukakosolewa afu useme una andamwa yan umeanzish ugomv afu umepigwa unaanz kuita msaada
siwez nikashindwa batlle na watu nliowazid kila kitu mm mwnyw vawulence naziweza nlichokua namwambia huyo dg Hapa tunabisha wengi kwann ananipoint mm aache kua na double standards ka Ni ushauri angetoa kwa wote
 
Wakuu nina swali kidogo...maana nasikia sikia tu hayajaiva haya....hv askari aliyeiva anatakiwa kuwaje, au anatakiwa kuwa na vigezo gani kuonyesha kuwa huyu kweli kaiva askari....
 
Wakuu nina swali kidogo...maana nasikia sikia tu hayajaiva haya....hv askari aliyeiva anatakiwa kuwaje, au anatakiwa kuwa na vigezo gani kuonyesha kuwa huyu kweli kaiva askari....
Habishani kama wanavyobishana humu ndani yeye anatoa tu Muongozo mtizame Bro Afande Dystonia7
 
Kajeshi 'kakuchukua nyota'[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Watu wanachukua 'nyota' tuu..!!!
 
siwez nikashindwa batlle na watu nliowazid kila kitu mm mwnyw vawulence naziweza nlichokua namwambia huyo dg Hapa tunabisha wengi kwann ananipoint mm aache kua na double standards ka Ni ushauri angetoa kwa wote
Basi ndugu nisame mimi ila mim nimekuomba ujifanye mjinga ili hii mada ife mana naona mshaanza kufika mbali

Pia umundani tupo wengi ambao wanatamani sana izi nafasi za kijeshi

Mkianza kuvimbiana na kuanza kuoneshana kua nyie mna connection za kupata izo nafasi mnakosea mana mnakua mnafanya watu wengine wajione hawana bahati na izi kazi

chamsingi narudia tenna ebu tupeana taharifa za mafanikio na sio majibishano ambayo hayana faida wee kaa kimya utaona kama kuna mtu atakuja kuongea tenna izo mada
 
basi mm nimeacha kubishana tujadili Mambo mengine uungwana Ni vitendo
 
basi tuseme hivi hawa wenzako waliopita mujibu wakaenda chuo na saiv wanalitaka Tena jeshi Ni vilaza pia

Yan me nachoona we jamaa unaumia kusikia mujibu wanajua mambo zaidi yako au wanakazi nzuri au cheo zaidi yako
Acha wivu Mzee huyo huyo unayemuona mujibu ipo siku utampigia saluti
Case closed [emoji41]
 
Mnabishana hadi mnashushiana heshima.. Mimi naamini hakuna anayejua vyote hata kama yupo ndani ya chombo! Muhimu ni kuwa willing ku share na kuchamvua taarifa tunazopeana kiroho safi ili kupata zile ambazo zipo accurate.

Hayo mambo ya kutaka kujionesha mtu unajua kila kitu, wakati source yako ya taarifa ni moja ndio inatengeneza mabishano yasiyo ya msingi.

Mwisho kabisa wakujitolea waombe ili wakawe maaskari kama wengi wanavyoamini na hao mujibu pia waombe ili 'wakachukue hizo nyota' na kuwa maofisa kama wanavyoamini.

Either way mtu akipoteza ni siri yake.

Tuendelee na lengo la uzi la kupashana habari na sio mabishano ya kushushiana heshima.
 
Wakuu nina swali kidogo...maana nasikia sikia tu hayajaiva haya....hv askari aliyeiva anatakiwa kuwaje, au anatakiwa kuwa na vigezo gani kuonyesha kuwa huyu kweli kaiva askari....
Ukomavu katika nyanja zote....

Avuke viunzi anavyokutana navyo kimwili, kiakili na kisaikolojia.
 
JamiiForums-1460481768.jpg

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Nani umemzidi kila kitu wewe unawajua watu wote humu, dogo mishahara na posho ya private yote tunaijua usitake kujimwambafy hapa ninyi ndio mnafanya wanajeshi wote wanatukanwa hata wale ambao wanajielewa, yani hapo ni private tu unasumbua hivyo ukija kuwa luteni usu wewe raia na askari wote wataokuwa chini yako si watakukoma
Et kawazid kila kitu😁😁😁 anatak ahamie kwenye kuonyeshana Assets na Account number huyu..hili jamvi sasa hiv litajaa picha za nyumba na magari😎
 
Jamani Jeshini kila mkubwa na mkubwa wake hivyo swala la connection haliepukiki..kwa kusema hvyo haimaanishi wasio na conection wasi request hapana,,walltume maombi coz maana yang ni kwamba jeshi sio kwa ajil ya waliojitolea wala kwajil ya mujibu, all of them demands..na sio nafas zote znauzw kw connection zingine zinapewa watu Qualified..Closed📌
 
Back
Top Bottom