Zee la Kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2023
- 334
- 624
Maturity AdviceAmna wee jieshimu pia nenda na mada ambayo kila mtu ataichangia kwa faida sio kwa mabashano ambayo hayana faida yoyote pia kingine
Kama kweli wew upo kwenye kitengo basi inabidi ufate kanuni zako za kazi ivi
Unahisi umu ndani upo mwenyewe private au
Wapi wengi sana umu ndani ila wanajua nini maana ya kazi yao saa wew unabishana vitu ambavyo havina faida yoyote
Mii nakuomba wee kausha tuuh kama yeye anaona yupo sawa basi muache abaki na ukweli wake na wew ubaki na ukweli wako