Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Uzuri mboga saba na watoto midebwedo au watoto wa vigogo ni wachache jeshini, wazalendo halisi wapo vizuri , kwa hiyo haina shida.Ndio oljoro kozi imepoa ,, hivyo wakishua wengi wanapagombania.
Ila kuleta ubishoo jeshini hususa ni kwenye kozi za kuandaa askari na kupangia hawa kambi ile na wale kambi flani kwa sababu za hadhi ya wazazi wa watoto ni mapuuza sana na ni vizuri waache.
Maana vita ikitokea haijui cha midebwedo, watoto mboga saba au wana walio vizuri kijeshi, ni kazi kazi dadekkkk